Kwa kigezo hiki january makamba ameshachemsha.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kigezo hiki january makamba ameshachemsha..........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mansakankanmusa, May 6, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Ni kwa kuwa alishafanya kazi na jakaya? ni kwa kuwa baba ake alikuwa pembezoni mwa chama? namshagaa january CCM anafanya nini,

  lakini kama sababu na vigezo hivyo ndo kumweka kwenye baraza ni lazima hii ndio stage/alama ya kwanza kuanguka na kudodesha wizara..kwa akili ndogo sana, waliosulubiwa sio wajinga nao wangekuwa back bencher na wakaamua lazima wangemtoa mtu pale..januaary hakutakiwa kuwahi pale(wizarani)..na kwa uwenyekit wake kamati ya nishati bungeni bado alikuwa anacheza namba ya opposition..vinginevyo avae ngozi ya mwakiembe, sitta n.k unafiki utapoteza wengi katika siasa...tena vijana wenzetu wapambanaji
   
 2. N

  NANKY Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi january huyu aliyesoma dispute resolution marekan ndo huyu mwenye kashfa yakuiba mtihan kipind anasoma tanga na kufutiwa matokea ndo huyu aliyewatapeli wananchi wa bumbuli kwa kuwaletea wazungu kipind cha campen iliaonekane anawafadhili wa kuwasaidia wananchi wa bumbuli na kuwahadaa kama ilivyo sasa.

  charity begins at home bwana january ametenda nini huko bumbuli? january ni ufisadi tu hakuna jipya kwan wakati wa kampeni alikua anawatumia watu sh 2000 kwenye sim zao ndo huyu alikua anagawa pesa kwa mabalozi wa vijiji na nyumba ambayo iliyo kuwa inagawiwa pesa iko maeneo ya kata ya mgwashi kitongoj cha kito kwenye nyumba ya mzee jabiri na gest moja ya mwalimu kikoti. Aliawadanganya watu kwa kuwapa futari kipind cha mfungo wa ramadhani.

  january huyu aliita wazee kwao na akawatoroka na kwenda kulala lushoto mjin huku mzee makamba akimwambia mama mwanvita awapikie wali wale wasepe kwan njaa ndo iliwaleta mahezanguu kwa january. huyu january ndo alipiga kampeni za hujuma kwa mzee shelukindo. yan mmngejua kufuru aliyo ifanya january wakati wakampen zake wala msinge mvisha koti la kijana mpambanaj hata kidogo. jaman january na mafisadi havitenganishwi nashangaa mnamsfia tu kwan nae n nyoka na sumu ile.

  aje akane haya kama anauwezo niendelee kumfunua huyu mshikaj na aniambie mpaka sas amefanya nn kwe jimbo lake
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  zile pesa alizochukua kule barricks gold ameshazirudisha lakini? hizo ni tetesi tu.... asingepewa unaibu waziri mpaka tujue kama hizo hela kazirudisha... wenyewe wanazitaka.. yaani Mheshimiwa kafukuza mafisadi kaingiza mafisadi baada ya miaka miwili tutakua tuko hapa tunadai mzee abadilishe tena mawaziri wake...:thinking:
   
 4. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ????????????????????????????????????????????????????????????????????????sina lakusema:eek2:
   
 5. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  am not counting Janaury Makamba any more
   
 6. A

  Abduly Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa2 hawapeani uwaziri kwa CV bali kwa kulindana ukianza kuchambua maovu ya kila waziri hakuna aliye salama labda wawili au watatu kama watazidi
  siasa za kitapeli
  kulindana, na chukua chako mapema ndo zilizotufikisha hapa tulipo
  YAA RABI TUNUSURU
  bora tuwe kama libya, tunis, egypt syria kuliko kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi huwa sina imani na mtu yeyote upande wa magamba
   
 8. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,719
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  Tatizo lenu ni kufikiri unaweza kuwa CCM hii ya EPA na Richmond na bado ukabaki msafi.

  Lau mngetambua kuwa CCM na UFISADI ni kama LILA na FILA, havitenganishiki...msingepoteza muda wenu kuomboleza maanguko ya 'vijana wapambanaji' ndani ya CCM kama na January Makamba.
   
 9. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Salama ya watanzania ni kwa kuizika ccm 2015 tuanze upya. Chama gani kinawapa nafasi nyeti za uwaziri watu ambao hata kwenye NGO wasingepewa u Coordinator kwa vile hawana walicho achieve katika leadership bali wanajifunzia kwetu. Afadhali January, kuna muuza vocha za tiGO kapewa madini
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  january ana uswahili wa ajabu sana'jamani huyu jamaa hatuwezi kusema ni kiongozi'hana vision yoyote wala hana background ya kiuomgozi
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Tatizo ka magwanda mna wivu sana, mwacheni kijana watu ale maisha bhana kwani hakuna hata mmoja asiyependa pesa tena nyie mnaoshabikia chama cha kichaga ndio wabaya zaidi na siku tukiwapa hii nchi lazima tu ┬┤watafisadi kama ruzuku.
   
 12. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh! Jamani kusema kweli hili chama Cjui Kama kuna msafi.....haziwezekani kila anayejitokeza from nowhere unakutana na maovu yake...inasikitisha sana lakini hukumu Yao ni 2015 baaaaaaas!
   
 13. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Why pay money to have your family tree traced; go into politics and your opponents will do it for you!
   
 14. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu inaonesha unamsoma vizur huyu jamaa atakua ana kila chembechembe za kifisadi
   
 15. i

  innocent j Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poor ideology bro, do not gudje a book by its cover
   
 16. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,180
  Likes Received: 487
  Trophy Points: 180
  Kuna thread moja humu JF inasema januarey Makamba ni wanted person kule USA alihusika na wizi wa kimtandao tafuta utaiona mkuu..
   
 17. mka

  mka JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu, its judge not gudje. Ila 'cover' litakufanya ujue kitabu kinahusu nini na litakupa mwangaza wa yaliyomo. Kulinganisha na siasa, ukijua tu chama ni CCM unapata ufahamu kuwa si msafi nani mkumbatia ufisadi na anaunga mkono wizi wa rasilimali za taifa. Kwa hali ya CCM sasa mtu msafi hawezi kuwa ndani yake maana CCM na ufisadi ni chanda na pete.
   
 18. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Jamani ndiyo ameisha upata Unaibu Waziri, historia hizo za nyuma hazisaidii kwa sasa, tumuhukumu kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake mapya
   
 19. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna kitu kinanishangaza kidogo. kule kwenye FB page ya January watu mnajipendekeza kupindukia alafu mnahamia huku JF kuua. Acheni unafiki, kama vipi umampa mtu kavu wakati unatumia jina lako halisi FB au ukiwa hapa
   
 20. k

  katatuu JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  unaonekana wewe ni kati ya wale walioukosa.nakupa pole .ila subiri zamu yako mwenzio ndio huyoo anapeta.hongera Makamba fanya kazi uliopewa na mkuu wako mungu atakusaidia.sio wote wenye mapenzi mema kwako.
   
Loading...