Jana CHADEMA Songea WALIWAKA.

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Songea(Ruvuma) kiliongoza wanachama na wananchi wa Songea katika maandamano ya kupinga udhalimu unaofanywa na Tanesco Songea. Hii ilitokana na ukosefu wa umeme kwa mda mrefu pasipo wenye nchi kutaarifiwa.

Maandamano yalifana.

Nilitamani kuja live lakini vifaa vyangu vyote vilikuwa off-charge. Hii ilitokana na kukosekana na umeme kwa mda wa siku tatu hivi.
 
Binafsi nawapongeza wana cdm songea kwa mwamko huo,najua jimbo 2015 linachukuliwa jambo moja nafahamu kwa hakika Nchimbi alishinda kwa nguvu/kubebwa na kamati ya ulinzi ya Mkoa ambao waliazimia ktk kikao chao kuhakikisha kila mmoja rpc/ocd,rso/dso,ded,na wengineo kuhakikisha wanamsaidia cause anatoka chama tawala
 
Hongereni sana cdm songea! Nilitaka niulizie picha lakini nikaishiwa pozi maana tatizo la umeme linaumiza kotekote. Poleni kwa tatizo la umeme.
 
Binafsi nawapongeza wana cdm songea kwa mwamko huo,najua jimbo 2015 linachukuliwa jambo moja nafahamu kwa hakika Nchimbi alishinda kwa nguvu/kubebwa na kamati ya ulinzi ya Mkoa ambao waliazimia ktk kikao chao kuhakikisha kila mmoja rpc/ocd,rso/dso,ded,na wengineo kuhakikisha wanamsaidia cause anatoka chama tawala

vijana wa songea ipo kazi kweli kulinda kura maana mkuu wa wilaya ni yule jamaa mchapa walimu viboko eti kisa walimu wamefelisha( hapa nitoe angalizo kwamba msimamiz anahitaji uangalifu maana kuna nguvu ya umma au viboko ikiwa atatoa jimbo kwa chadema)

ikumbukwe kwamba huyu jamaa alisabisha mgogoro wa nyamongo na kutoa amri ya nguvu nyingi kupita kiasi kutumika kuzima maandamano ya february.
 
Kwa kweli sasa wana Songea hawataki mchezo wameonyeshwa Channel Ten wakiwa wamebeba taa,vibatari magenereta vichwani sijui Tanesco wana lipi jipya zaidi ya kusema watupe wiki tatu mpaka nne eti Tanesco haiwezi tena kujiendesha
 
Inapaswa waandamane nyumbani kwa Nchimbi wakaone na kimada wake anapata tabu kuwasiliana na kwa simu yake kukosa chaji.
 
Haiwezekani! Kila siku Ritz na wenzake wanasema CDM iko mikoa ya Kaskazini tu sasa huko nako lazima ni Kaskazini mwa Tz. Heko CDM
 
Hii kitu inasemwa 'mapambano yanaendelea'. Unyangau basi tena.
 
Wale wanaoimba singo ya CHADEMA kuwa kanda ya KASKAZINI mbona huwa hawatokei kwenye thread kama hizi....AIBU YAO.....HAWANA JIPYA TENA. VIVA CDM.....
 
Nilishawaambia silazima kusemea kila jambo maana 'if at all no satisfactory research then no right to speak'

hizi harakati si lelemana na hawaziwezi magamba.

Watu wa mbinga, namtumbo, madaba, peramiho na tunduru wanamsubiri Heche na kikosi kazi chake soon. Ngoja tu.

Watu wa mbinga wanasema yule mzee wa 'mapambio' basi tena.
 
Nipo ghetto najifariji kwa wimbo wa lema 'msivunjike moyo makamanda wote aeee!' na kile cha 'tuwamwage mafisadi'. Pia vitu vya watengwa, kala jeremaya, roma, wagosi wa kaya vinanikosha sana.
 
chama cha demokrasia na maendeleo songea(ruvuma) kiliongoza wanachama na wananchi wa songea katika maandamano ya kupinga udhalimu unaofanywa na tanesco songea. Hii ilitokana na ukosefu wa umeme kwa mda mrefu pasipo wenye nchi kutaarifiwa.

Maandamano yalifana.

Nilitamani kuja live lakini vifaa vyangu vyote vilikuwa off-charge. Hii ilitokana na kukosekana na umeme kwa mda wa siku tatu hivi.

hongera kaka hata hili ulilotuletea si dogo!
 
wale wote wenye fikra zenye mtindio wa ubongo kwamba chadema ni chama cha kikanda nadhani sasa wanaona jinsi peoples power inavyokubalika. M4C SI MCHEZO
 
Naona hayo maandamano yalikuwa moto sana, imebidi TBC-ccm kwenye taarifa ya habari ya leo saa 2 wamwite Badra Masudi (Mrs Mamvi) aje kutoa ufafanuzi, lakini alikuwa anaonge pumb.a tu...
 
Back
Top Bottom