Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,883
Gharama za matibabu Marekani ni ghali sana.
Rafiki yangu mke wake alijifunga mwaka mmoja na nusu uliopita, na tangu admitted mpaka kuruhusiwa kutoka ilikuwa siku tatu, iligharibu $ 25,640.
Miaka 8 iliyopita nilipokuwa chuoni Marekani, nililazwa hospitalini kwa siku tano, gharama za matibabu ni $ 15,106.
Kumbuka gharama hizi zililipwa na bima ya afya aliyokuwa nayo huyo rafiki yangu kwa ajili ya kujifungua mke wake, hali kadhalika mimi gharama zangu zililipwa na bima ya afya nilyokuwakuwa nayo kutokana na kwamba baada ya kitabu nilikuwa napiga box. Hali kadhalika watajwa hapo juu walijulikana na status ya usa residential permit status kwa vile walikuwa walipa kodi.
Kwa kesi ya mke wa Kitime sishangai kama iligharibu $ 60,000 kama kweli alitibiwa marekani, kwani wakuja anadaiwa zaidi kuliko mlipa kodi, kama ilivyo kwa wanafunzi International hulipa karo kubwa zaidi kuliko wazawa ambao wanategemewa kulipa kodi wakishaajiriwa. Ila kama alighushi alikuwa hajatibiwa Marekani basi hiyo ni kesi nyingine.