Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri
4 Reactions
87 Replies
10K Views
Zimeshapita siku takribani siku 11 tangu tarehe 23/04/2011, siku ambayo Mh. Zitto aliwasilisha hoja ya Kumg'oa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Na kimsingi zimebaki siku tatu tu kabla ya kwisha siku...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Enzi zile za Mzee Mwinyi alipewa nguvu iliyoitwa Fagio la Chuma iliyopelekea Marehemu Brg.Moses Nnauye kutunga wimbo 'usipowajibika ole wako utakumbwa na fagio la chuma' sikumbuki uliimbwa na...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
cuf imeanza ujenzi wa ofisi ya wilaya ya kinondoni katika kata ya makumbusho barabara ya mwinjuma. Ofisi inajengwa kwa mchango wa matawi yake. Hii imekuwa nitofauti na vyama vinavyo milikiwa na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nampongeza aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Nahodha kwa maamuzi magumu aliyotoa kwa wezi wa madini yetu,wakenya wenye urai wa nchi mbili waliokuwa wanabebwa na na mzindakaya na mwanae...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF bila shaka hii kitu itaripotiwa vyema kesho na magazeti kadhaa hivi. Kwa yale yanayowahi online hata usiku huu wanaweza kutoa picha na stori. Nami kwa makusudi kabisa sitapenda...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Nimeandika sababu zangu kwa kifupi sana lakini nafikiri zinabeba maana kubwa believe me. .................Vote for Dr. W. Slaa .........................OR ...........Vote for Hon. H Mwinyi...
8 Reactions
123 Replies
15K Views
Wana bodi hii ni kutaka kujua tu. mwenye ufahamu anifahanishe. mtu unakuwa huna haki ya kugombea kama huna sifa za kupiga kura nina uhakika ipo kisheria na kikanuni kwa mujibu wa vyama vya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Viongozi wa CHADEMA,WANACHAMA NA WEPENZI wapenda mabadiliko,tupo katika nafasi nzuri sana ya kudai Tanzania Tunayotaka,tunaungwa mkono na watu wengi na tumekuwa tukipata msaada wa kila aina...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
kama mwanaharakati na mpenda mabadiriko, naomba mawari kivuli wawe na ma consultant ikiwezekana hata kutoka pande nyingine za dunia ili kuja na mitazam tofauti isiyozoeleka katika jamii yetu hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zilizotufikia ni kwamba nchini Ufaransa kimeumana na rais Nicolas Sarkozy amebwagwa na Francois Hollande,. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Mwaka 2008 baraza la mawaziri lilivunjwa kwa tuhuma za ufisadi ili kuonyesha kuwa ccm inawajali watz pamoja na kwamba ndio iliohusika na ufisadi huo ilianzisha sela ya kujivuwa magamba ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwanza nawasalimuni sana, nimeingia kwenye jamii hii kujumuika nanyi ktk jukwaa hili ili tulisongeshe. Nikaribisheni tuwe pamoja kwenye siasa za nchi hii. Nilitaka nijiite Nundu nikaghaili...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Nakiri katika makala hii murua kama ilivyo kawaida yake, Jenerali hajataja popote kama anauzungumzia utawala wa CCM. Lakini ukisoma tu utajua kwamba anayozungumza yapo hapa hapa...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Baraza la Mawaziri limeongezeka idadi kutoka 50 hadi 55. Nafasi mpya 5 zimeundwa kwenye Baraza la Mawaziri.Pia,nafasi za George Simbachawene na January Makamba kama Wenyeviti wa Kamati za Kudumu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu dada ilipoimba wimbo wa Mr Politician nilijua sauti za waimbaji wetu sasa ni chachu ya ukombozi, akapokea kadi ya CHADEMA, kama mwanachama, mara akaja akairudisha kwa JK akiwa Arusha ati...
0 Reactions
61 Replies
13K Views
Wabunge wengi wa Ccm wamechukizwa na kitendo cha rais kuteua wabunge na kuwapa uwaziri licha ya kwamba Ccm ina wabunge zaidi ya 250 lakini rais ameona kati ya hao wote hakuna mwenye sifa ikambidi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
CCM ni chama cha sikunying ahapa Tanzania, ni chama ambocho kimeenea sehemu zote nchini kuliko chama kingine chochote na ni chama ambacho kinaaminika kua na wafuasi wengi kuliko vyama vyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania nchi ya usanii na kudanganyana. Nani angeamini kuwa TAKUKURU ingekuja na kamba kuwa itawachunguza mawaziri watuhumiwa wa ripoti ya CAG. Hivi Takukuru walikuwa wapi wakati wote huu au...
1 Reactions
91 Replies
6K Views
Ni kawaida kwetu watanzania kuwanafasi ya uwaziri au ubunge ni nafasi ya "kuuaga umasikini". kwa viongoziwengi pindi wapatapo fursa tajwa hapo juu ndipo huchukua mikopo ya magari,nyumba n.k (...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom