Kwa hili JK kakosea na ameongeza MIPASUKO! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili JK kakosea na ameongeza MIPASUKO!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chaimaharage, May 6, 2012.

 1. Chaimaharage

  Chaimaharage JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha kutafuta na kufanikisha mazingira ya kuwabakiza Magembe na Mkuchika pasipo kufanya hivyo kwa wengine pia ni hatari sana japo watu hili wanalipa uzito mdogo.Kwa sababu wote 8 walikuwa kwenye kundi moja la tuhuma.Bora Bunge linge tofautisha uzito wa tuhuma hapo angefanya hivyo.Je,hawa wengine wana jisikiaje? Huu ni mpasuko mwingine.Kama ni kubebwa makosa yanapo tokea bora wabebwe wote na siyo kubagua.Ina maana hao waliobaki ana uswahiba na maslahi nao zaidi?
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kabisa,ikiwa walitajwa hawakustahili kubakia,but one thing,ndani ya ccm all are almost rotten ukute aliishiwa kabisa machaguo
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mkuchika alikubali kujiuzulu lakini Kikwete akamkatalia. Hawakukutana barabarani!
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hoja ya kumuwajibisha PM bado ipo. nyalandu nae amebaki, ghasia pamoja na madudu yote bado yumo tu, msaidizi wa mkullo amehamishwa wizara
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,812
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Jk hajui analofanya anakokota hivohivo hadi 2015
   
 6. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25,042
  Likes Received: 37,840
  Trophy Points: 280
  Unajua mheshimiwa huyu raisi anaweza kuona kama anaandamwa au hatendewi haki lakini ukweli ni kwamba yeye mwenyewe ndio anatengeneza mazingira ya kusakamwa.Tatizo kubwa linalomsumbua ni kuweka mbele ushikaji na kusahau kuwa yeye amekabidhiwa dhamana nzito ya kuongoza taifa hili na asitarajie watu watakaa kimya wakati anafanya makosa ya kuligharimu taifa.Kingine asikilize ushauri anaopewa na asione watu wanamuingilia na badala yake awe anapima ushauri anaopewa.
   
 7. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Kweli hilo linawezekana. Mimi natamani wapasuke na ikiwezekana wavunjike vipande vipande
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Huko Jeshini (JWTZ) naona kulikuwa na siri nzito. Mkuchika ni Captain Mstaafu, Lowassa pia ni Captain Mstaafu na wote hawakukutana barabarani. Nakumbuka JK alikuwa promoted kuwa Lt Col. wakati alishakuwa waziri tayari. Kuna dalili zote kwamba JK na hii timu ya "hawakukutana barabarani" wameanzia huko JWTZ, kwenye hili kundi pia yumo Captain Mstaafu Jaka Mwambi na Captain Mstaafu John Chiligati.
   
 9. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...katika ajali wengine hufa, wengine hujeruhiwa na wengine hutoka wazima.Haikuwa nia yake "kusuka" baraza ila imemlazimu baada ya kushindwa kuzuia "upepo".
   
 10. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  walikuwa wote jeshini
   
 11. I

  IDIOS Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mwisho wa mh JK umefikia. Na mwisho wake wa kufikiri ndo hapo ss tunapomforce atende vema tunakuwa tunamuonea tu. Namuomba mh Zitto Z. Kabwe aendeleze kampeni yake ya kuvote vote of no confidence kwa PM mh Pinda Kayanza. P. Na nnawaomba waheshimiwa wabunge wote kutoka kila chama hasa tawala nao waitendee haki hoja ya upinzani iliyoeasilishwa na Ztto kabwe katila bunge lililopita.

  Nawasilisha pipoz power
   
 12. H

  Hingi Jr Senior Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mnajisumbua bure kwani hoja ya zito haina mashiko tena na hakuna hata mbunge mmoja atakaeunga hiyo hoja labda wabunge wa cdm pekee ambao walifikiri watapata umaarufu wa bure.CCM iko makini na inafanya mambo yake kwa uangalifu mkubwa hakuna mtu ambaye hajui kama pinda hana matatizo yoyote.Nampogeza Rais wetu na Kamati kuu ya CCM.

  CCM OYEEEEEEE......................................
   
 13. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,322
  Likes Received: 2,687
  Trophy Points: 280
  Ccm mngekuwa makani mawaziri wenu wengekuwa wezi mpaka mshituliwe kuwa taifa linaibiwa ndio mshituke msipoangalia mtakuta liccm lenyewe limeibiwa huku mmelala fofooo.
   
 14. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mohammed Saeed al-Sahhaf
   
 15. B

  BORATUMBO Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jk mtu makini sana hakukurupuka uteuzi aliofanya ni wa makini sana sasa baraza limekaa vizuri wakuu
   
 16. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Atalivunja tena pindi Migiro atakaporudi, si unajua jk ni mtu wa mazingaombwe..
   
Loading...