Hivi ndg mh. Meck sadiki yuko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndg mh. Meck sadiki yuko wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moony, May 6, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Naona niko nje ya wakati.

  Hivi RC ndg Meck Sadiki yuko wapi?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nimeshangaa anakaimiwa na Mwantumu Mahiza.
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Alikuwa Malingotini akijifua!
   
 4. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yuko likizo
   
 5. m

  mhondo JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Labda yupo likizo.
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  zaidi ya kwenda kumpokea mheshimiwa pale airport hua anafanyaga nini kingine??
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Atakuwa kaenda Loliondo kwa babu Ambilikile Mwasapile
   
 8. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kuahkiki wahamiaji wa Mabwepande wake comfortable katika mahema yao na kupokea donations toka kwa taasisi mbalimbali kama mabati, matanki ya maji na vyakula kwa wakzi wa Mabwepande!

  Ni shughuliyenye kuchosha na foleni za njia ya Bgmy si mchezo hadi amekuwa akipewa gari ya polisi kusafishia njia akienda kupokea misaada! Hakika likizo ni MUHIMU baada ya wakazi wa Mabwepande ku-settle mahemani kwao:-(
   
 9. D

  Di biagio Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi Rugimbana hawezi kukaimu ukuu wa mkoa kuliko kumlipa pa diem mtu wa mkoa mwingine..
   
 10. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anaandaliwa kufuata njia ya makamba, i.e after u-RC awe General secretary wa ccm magamba, so yuko kwa prof maji marefu.
   
 11. D

  Di biagio Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hawaonei huruma hizo fedha za posho kwanini Dc wa kndoni asikaimu hiyo nafasi
   
 12. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Yawezekana Rugimbana ni WAKUJA ZAID; Karagwe vs Tanga..Tanga ni karibu zaidi na DSM=wa Tanga ni wakuja wakaribu zaidi:). Nawaza tuu kwa sauti..
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kaenda india kukamuliwa jipu.
   
 14. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa ni hopeless, ingekuwa vizuri ange RIP...
   
Loading...