Naombeni msaada kuhusu hii philosophy ya Hayati Mwl. Nyerere

Saskatchewan

Senior Member
Oct 16, 2011
148
21
What weaknesses were observed in the implementation of the philosophy of Education for Self Reliance.
 
Google it. Inaelekea wewe ni mwanafunzi unatafuta desa la assignment. Umiza kichwa mwenyewe jombaa

wala mimi sio mwanafunzi. Nimeuliza sababu nahitaji kujua mapungufu ya Mwl. Nyerere ukizingatia ni kiongozi anayepewa sifa lukuki na watanzania
 
...Uyajue mapungufu ya Mwl. ili yakusaidie nini? Mtu kupewa sifa lukuki haimaanishi hana mapungufu, kwani, binadamu wote wanamapungufu yao.

...Sasa, naamini wewe ulisoma wakati ule -elimu ya umma ikiwa angalau nzuri- na ulijifunza mambo kadhaa kwa vitendo, ambayo yangeweza au yameweza kukusaidia kujitegemea na au kujiajiri. Mfano, masomo ya kilimo kwa vitendo -kilimo cha mboga, mahindi, nk- ambayo yalifundishwa katika mashule ya msingi na sekondari, kukiwa na walimu maalum kwa masomo hayo.

...Pengine ni vyema ukajikumbusha elimu iliyokuwa ikitolewa mashuleni baada ya azimio la arusha hadi lilipokuja azimio la zanzibar.
 
Nani kasema binadamu hana mapungu? Anyway tuache kubishana. Nisaidie swali langu mkuu
 
kufaham falsafa haitoshi kuweza kutambua uwezo wake kama kiongozi,ulishafikiria ni kiongozi yupi alifanya kuzaliwa kwa taifa hili hadi kufikia hapa 2lipo?

Mwl. Nyerere alikuwa kiongozi bora wala sikatai. Ninachohitaji kujua ni weaknesses ktk utekelezaji ya philosophy of Education for self reliance
 
Nani kasema binadamu hana mapungu? Anyway tuache kubishana. Nisaidie swali langu mkuu
...Kuna jamaa kakwambia kuwa kama unatafuta majibu ya maswali ya darasani hutapata hapa. Nadhani yuko sahihi. Kama unajadili shiriki katika mjadala na sio kutaka majibu.

...Ungefuatilia niyosema ungeona kuna njia ya kuelekea kwenye jibu. Ukweli ni kwamba, sina majibu.
 
udhaifu uliopo ni kuwa waliopewa dhamana walishindwa kutekeleza kwa kuwa hawakuwa na bado hawana uwezo wa kuiweka nadharia katika vitendo
 
What weaknesses were observed in the implementation of the philosophy of Education for Self Reliance.
*
Talking of Philosophy naombeni mie niulize falsafa ya president wetu wa sasa mh. dk Jakaya M Kikwete!!
 
...Kuna jamaa kakwambia kuwa kama unatafuta majibu ya maswali ya darasani hutapata hapa. Nadhani yuko sahihi. Kama unajadili shiriki katika mjadala na sio kutaka majibu.

...Ungefuatilia niyosema ungeona kuna njia ya kuelekea kwenye jibu. Ukweli ni kwamba, sina majibu.

umeshinda mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom