Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kutokana na aibu iliyotufika kambi ya upinzani katika kikao cha bajeti kilichomalizika jana, kwa kutengeneza bajeti mbovu na isiyoeleweka, mpaka wabunge wa CCM kuifananisha na bajeti ya Harusi...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
ukifungua link hiyo chini utaona wachangiaji wanavyo funguka wakisema live mbowe ni dhaifu ameshindwa kusimamia pale alipo simama ni kinyonga na ndumila kuwili ane badilika hawa wanasiasa waina...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kumbukeni historia - nawashauri msitake kuruhusu Historia hii ya utumwa wa kiaarabu ijirudie. Kumbukeni pia wale wote mlio na rangi nyeusi mmetokea Tanganyika!!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa na wafuasi wa Chama hicho alipotembelea ofisi za Chama hicho zilizopo Kilimahewa Jimbo la Kwamtipura Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Saturday, 23 June 2012 10:01 Mussa Juma, Dodoma WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi, wamemhakikishia Balozi wa Uholanzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu watanganyika wenzangu wana wa JF, Hebu tukae chini na kujadili japo kwa uchache kuhusu moja kati ya madai ya ndugu zetu Wazanzibar wanaowakilishwa na wana wa UAMSHO katika harakati za kudai...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Nmekuwa nasikitika sana jinsi serikali inavyotaka kufanya kiini macho cha muungano katika katiba mpya. Serikali imeruhusu watu kujadili swala la muungano katika katiba mpya, je katiba mpya ikiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni chama kikuu Tz lakini nashangaa nguvu zake zaidi kaelekaza Tanzania bara tena katika mikoa ya kaskazini vipi kuhusu Z'bar hamna haja na urais 2015 kwani CCM na CUF hazina mvuto tena, sera zao...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
“Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM.” - JOHN MNYIKA.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JUMAMOSI, JUNI 23, 2012 10:50 NA BAKARI KIMWANGA, DODOMA *Asema anamiliki kampuni ya madini Dubai *Adai anaishambulia Serikali kwa kunyimwa ‘tenda' *Mwenyewe, ajibu mapigo, amtaka...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Leo katika History: Zitto Kabwe akataa kufuta kauli yake kwamba Jeremia Sumari Naibu Waziri wa Fedha ametoa majibu ya "ovyoovyo".....June 24, 2009.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Ninajua kuna maswala mengi ambayo yako mbele yetu kwa ajili ya kuyajadili na kutafutia ufumbuzi. Lakini nimesikitishwa sana na list ambayo nimeona kwenye website ya wizara ya afya...
6 Reactions
94 Replies
10K Views
Baada kutafakari kwa kina kirefu kuhusu shughuli za Bunge la Jamhuri ya Tanzania nimegundua kuwa kuna udhaifu mkubwa ambao inanilazimu kusema kuna ulazima wa kubadilisha katiba ili kutia sharti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
eti mojawapo ya makubaliano kati ya madaktari na serikali ni ongezeko la call allowance!huu ni uongo mwingine wa Pinda kwa sababu amesahau kiwango hiki alikiweka yeye pale CPL bila kujadiliana na...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
M4C leo ni zamu ya sinza, wanafunzi vyuo vikuu waanza kukutana sinza white inn, ni kwenye mkutano utakao hutubiwa na kamanda Lema leo, wanafunzi zaidi ya 4000 kukutana... ====== updates...
4 Reactions
204 Replies
14K Views
Ikulu: Mashangingi sasa basi Thursday, 21 June 2012 19:49 Boniface Meena na Fidelis Butahe Mwananchi OFISI ya Rais, Ikulu imesema Serikali itaanza kuwakopesha viongozi wake wa...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Ndugu wana janvi. Mwenye updates za kuanza rasmi kwa Mgomo wa Madaktari atujuze!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuwalazimisha madaktari kurudi kazini mara moja ama sivyo watajifukuzisha kazi hakubadilishi ukweli wa hali iliyopo. Hata kuwabembeleza warudi kazini mara moja kwa sababu “wagonjwa wanakufa” nako...
26 Reactions
112 Replies
11K Views
Mahakama kuu divishen ya Kazi imepiga marufuku mgomo wa madaktari ambao ulipangwa kufanyika kuanzia kesho. Source- Habari ITV Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri ya kusitisha mgomo wa...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom