M4C: Lema kuunguruma leo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

M4C: Lema kuunguruma leo..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Jun 23, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  M4C leo ni zamu ya sinza, wanafunzi vyuo vikuu waanza kukutana sinza white inn, ni kwenye mkutano utakao hutubiwa na kamanda Lema leo, wanafunzi zaidi ya 4000 kukutana...
  ======
  updates
  Maandamano mkubwa kutoka Sinza makaburini mpaka Sinza White Inn, watu ni wengi sana.

  ========
  kwasasa mkutano mkubwa unaendelea Tabata Kimanga.
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  M4C daima!
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Baada ya mkutano Heche awafanye kama alivyotaka kumfanya Kasmil
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani wewe ni dhaifu wa mwili, roho na akili!
   
 5. mzalendo mtanganyika

  mzalendo mtanganyika JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 301
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  tuambie saa ngap and if possible mkuu.utakuwa unatu-updatia picha za matukio mbalimbali ili nasi tufurahie
   
 6. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Enda kachukue posho white inn mchaga wewe kisha umpe Heche vilivyo vyake.
   
 7. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku
   
 8. m

  massai JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa arachuga,kamanda wa ukweli wape sera vijana na waamshe waliolala
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Anaogopa kurudia kazi yake ya ujambazi tayari anajulikana, ila mwache yeye na Heche wawashughulikie watoto wa vyuo vikuu wanaendekeza njaa sana hao.
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mawazo dhaifu kama yako na ya wenzio ndio yameifikisha nchi yetu hapa ilipo......nichukue posho mie kibaraka wa Nape kama wewe?.....mwanaume mzima unauza utu wako kwa elfu mbili per day????? ....aibuuuuuuu!
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kilaza bana......kubwa zima hapo ndipo akili yako dhaifu ilipoishia?.....hebu jitahidi uongee kama mwanaume mwenye akili timamu!.......mwanaume una mipasho isha mashauzi hakukuti walah tena!
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Wahi white inn wewe ukakalie kiti chako.
   
 13. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nakuona kabisa we ni mzizi afu dhaifu
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Huna jipya kaka.....fanya kazi acha kutegemea elfu mbili za wanaume wenzio!
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dhaifu mpaka anashindwa kufanya kazi kama mwanaume......anaganga njaa jf kutetea ujinga!....huyu Nduka ni kilaza sijawahi ona!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Saa ngapi? Kuvua gamba immo, nije nalo.
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Heche kaharibu kizazi hiki, Kasmil ametufumbua macho.
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huna jipya Nduka .....hebu jaribu kuishi kwa kujitegemea uone kama utatumiwa na wanaume wenzio namna hiyo......wenzio sahizi wanakula bata wewe umetumwa kuongea ujinga huku aibu ati.....njaa mbaya jamani.....ona wewe mtu mzima unavyouza utu wako!.....ukweli unajua kuwa hali ya nchi ni mbaya kwa sababu ya kuongozwa na mtu dhaifu ila unatetea ili upate elfu 2.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  M4C hakika haitawabakiza hawa mafisadi.


  Nategemea M4C irudi huku Arusha Vijijini kwa haraka sana hasa upande wa Magharibi kwa huyu fisadi balaa naibu dhaifu wa wizara ya ardhi nyumba na maendeleo.
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mawazo dhaifu ,watu dhaifu ,mwenyekiti dhaifu ,serikali dhaifu....poleni sana ....next time mtajifuna kuchagua watu wenye akili sio kila mtu anaweza kuwa rais....
   
Loading...