Nukuu ya wiki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nukuu ya wiki.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, Jun 24, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  “Tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa Rais Jakaya Kikwete, kwa uzembe wa Bunge na kwa sababu ya upuuzi wa CCM.” - JOHN MNYIKA.
   
 2. Teacher1

  Teacher1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  "Matatizo yanakuja kwasababu akili ndogo inataka kutawala akili kubwa" mch. Msigwa
   
 3. Teacher1

  Teacher1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  "Profesors mzima wa CCM anaongea kama darasa la pili" Mch. Msigwa
   
 4. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Mapato Ya nchi kutegemea bia, Je watu wote wakiokoka itakuaje" -Kafulila D.
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hatuombei uchumi, tunaombea wazinzi -msigwa
   
Loading...