Gari la mbowe bado laleta mjadala facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la mbowe bado laleta mjadala facebook

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mgongo wa paka, Jun 23, 2012.

 1. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ukifungua link hiyo chini utaona wachangiaji wanavyo funguka wakisema live mbowe ni dhaifu ameshindwa kusimamia pale alipo simama ni kinyonga na ndumila kuwili ane badilika hawa wanasiasa waina hii ni hatari sana hii ni kwa mujibu wa mchangiaji kwenye fb
   
 2. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 3. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mh hapo kazi
   
 4. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh mpaka ufuate link!
  ntarudi
   
 5. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nIMEENDA huko nikakutana na hilo
   
 6. s

  simon james JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu rudisha thread yako hukohuko Fb. Are you a great thinker?
   
 7. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hyo Link mbona haipo mkuu.
   
 8. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwanini niifute kuna kitu inazuia
   
 9. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umejaribu kuingia link hiyo ya pili hapo acha ya kwanza
   
 10. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  je ni sawa
   
 11. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama mbowe ameshindwa kusimamia anachokiamini so sisi wananchi tutamwamini.
   
 12. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni heri shibuda anaeonekana ndumila lakini husimamia pale pale anapopaamini tuna kumbuka shibuda alisema wazi ataendelea kupokea ujira wa mwia yani ruzuku ya sitting allowence ndivyo ilivyo leo na hata kesho haihitaji uwende shule shibuda si dhaifu mbowe ni DHAIFU
   
 13. t

  tupak Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf ni mahali pa kuleta hoja si link ndugu yetu vipi?
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Nikiwa kama mwanachadema alilofanya Mbowe si sawa kama siku anarudisha gari alisema na kuutangazia umma iweje aje kwa mlango wa nyuma na kulichukuwa bila ya kuitangazia umma sababu ya kulichukuwa kwa hili haliko sawa hata kidogo.
   
 15. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kumbe unachotaka kutuambia ni maoni yako.
   
 16. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Tujadili mambo ya msingi. Hata kama Mbowe ataacha kulitumia hilo gari sioni kama itaongeza tija kwa maendeleo ya nchi. Aidha, hiyo ni haki yake kwa kuwa tayari gari hiyo ilishanunuliwa, hata akiicaha haiwezi kurudisha fedha, badala yake inatatumiwa na watazania tu. Mbowe alitaka kufikisha ujumbe kuwa hizo gari ni hanasa, na sasa imesaidia serikali imetangaza kuacha kuagiza mgari ya kifahari. Kwa hiyo suala halikuwa Mbowe hatatumia, bali alimaanisha kuendelea kununua magari ya aina hiyo ni anasa.
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,812
  Trophy Points: 280
  Kumbe fb
   
 18. m

  makwesa Member

  #18
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata hili ni muhimu,viongozi km hawa sio wakweli kwani mbona wenzake waliongea wakaeleweka vzr,c dhani km kulikuwa na umuhimu wa kudanganya
   
 19. G

  Ginner JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  iyo link itatupeleka kwenye group liitwalo tanuru la fikra....na niclosed group so itafunguka kwa members tu wa group na si kwa non members
   
 20. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Jamani imetosha tumwache kamanda wetu Mbowe aendeleze harakati kwani hata hiyo gari anayoitumia tunashindwa kuelewa kuwa lina faida hata kwetu kwan linatumika kusambaza elimu ya uraia pia nashangaa sana watu humu mpo sensitive kushabikia mambo ambayo hata utija wake kwa ukombozi ni machache.
   
Loading...