Katiba mpya na Muungano kipi kianze? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya na Muungano kipi kianze?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by cjilo, Jun 23, 2012.

 1. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Nmekuwa nasikitika sana jinsi serikali inavyotaka kufanya kiini macho cha muungano katika katiba mpya.
  Serikali imeruhusu watu kujadili swala la muungano katika katiba mpya, je katiba mpya ikiwa tayari na wananchi wakaukataa muungano, je serikali itakubali hilo kama ndio je itakuwa tayari kuandika katika mpya ya nchi ya bara itakayoundwa baada ya muungano kufa, kama ndio gharama hizi za katiba mpya ya pili baada ya kuundwa nchi ya Tanganyika serikali itaweza kuzimudu?
  Binafsi sioni haraka kuharakishwa swala hili la katiba mpya kabla ya hili la muungano kutatuliwa kwanza ili kama wananchi wakiamua kuunja muungano basi kila nchi iunde katiba yake mpya kwa amani na kuepuka gharama.
  Vinginevyo serikali inataka kufanya kiini macho katika huu muungano na nmeanza kupata mashaka hata Maoni haya ya katiba npya kama yatafanikiwa.
  Nawasilisha
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,740
  Trophy Points: 280
  Katiba mpya itatumika kuuvunja muungano!
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,947
  Likes Received: 1,272
  Trophy Points: 280
  how? Iwapo inakamilika 2014 ya Tanganyika itaandaliwaje?
   
 4. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mkuu hapo cha kuanzia ni suala la Muungano kwanza.
   
 5. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kinachojadiliwa hapa hakipo bayana! Nimepita tu!
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
Loading...