Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Simbachawene: Sitakubali kung’oka uwaziri na Happiness Mtweve, Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema hatakubali...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Kikwete amewaambia wananchi wasikubali kuuza ARDHI yoteee..kwa sababu watageuka kuwa Vibarua katika nchi yao. mbona hanasema hasicho kiamini..ninamashaka na M/kiti wangu wa Chama..yeye ndo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Friday, 22 June 2012 Kundi la Mombasa Republican Council (MRC) linalopigania k itenga Pwani ya Kenya limesema kuwa, iwapo serikali ya nchi hiyo haitasikiza kilio chake basi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ni muda tu mkutano umemalizika hapa katika viwanja vya katubuka shuleni, na wanachama karibu 64 wa CCM na Chadema 216 wameamua kuachana na vyama hivyo, na kujiunga na chama cha wanainchi CUF...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Sat Jun 23, 2012 4:58pm GMT * Merger of firms part of sugar sector reforms * New entity to list on bourse By Jean Paul Arouff PORT LOUIS, June 21 (Reuters) - Alteo Limited, a new entity which...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
"Ni nani miongoni mwenu ambaye mwanae akiomba samaki atampa nyoka? Au akiomba yai atampa nge? Hata ninyi mlio waovu huwapa watoto wenu vipawa vyema" ~ Yesu. Najaribu kutafakari, imekuwaje...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Posted on June 23, 2012 by zanzibaryetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akizindua Shuhuli za Zakka Zanzibar katika Ukumbi wa Salama Bwawani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hapa ni Jukwaa la Siasa, na Ndipo penye mashabiki wengi zaidi katika Jukwaa hili: Kinachoniogopesha, ni kuwa watu wanailaumu serikali na kuisema vibaya sana, kana kwamba serikali ni mtu mwingine...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
kwa wale wanaojua mkutano wa lema wa leo utakao fanyika tabata kimanga ni saa ngapi naomba watupe taarifa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana makala za mwandishi wa habari Ahmed Rajab katika gazeti la Raia mwema zinazozungumzia masuala ya kisiasa zaidi nilichogundua kuwa huyu mwandishi ni mtu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kutoka uvunguni kabisa wa moyo wangu na kwa nia ya dhati kabisa bila kushurutishwa na mtu yeyote nimeamua kuvua gamba na kuvaa gwanda katika mkutano mkubwa utakaohutubiwa na mbunge wa maswa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kulala hadharani tena wakati wa mambo muhimu si udhaifu? CHANZO CHA KULALA LALA OVYO KAMA TEJA NI UCHOVU NYAKATI ZA USIKU (ATUELEZE ANAKESHA AKIFANYA NINI),MARADHI KAMA SLEEPING SICKNESS AU...
7 Reactions
14 Replies
3K Views
Na Mwinyi Sadallah 23rd June 2012 Sakata la kero za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, limechukua sura mpya baada ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi (BLW), kulalamika kuwa wabunge kutoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"Crisis and deadlocks when they occur have at least this advantage, that they force us to think." –Jawaharlal Nehru (1889-1964) Mwanasiasa wa India Kwa nchi zilizopitia kwenye misukosuko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
​Siku hizi kila kukicha tunasikia viongozi wa Jamuhuri wakiwa wanatuhumiwa kuhusika na mambo machafu yanayopotosha maadili ya tamaduni na heshima zetu Watanzania. Mimi binafsi nafikiri...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Wakuu, Watanzania wengi wamezaliwa baada ya Aprili 26, 1964 kwa hiyo hawaijui Tanganyika, wanasoma tu kwenye makabrasha. Kama hiyo si sahihi sasa basi Watanganyika walioishi Tanganyika huru...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Uamsho walalamikia jeshi la polisi Mwadini Suleiman Juma ni miongoni mwa waliopigwa na jeshi la polisi katika eneo Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja kabla ya kufika Donge kulikoandaliwa mhadhara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono Mwandishi Wetu LICHA ya kusababisha hasara ya Sh61 bilioni, mgodi wa makaa ya mawe Kiwira uliopo mkoani Mbeya umetengewa tena kiasi cha Sh40 bilioni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duniani kuna mambo, eti nae huo kaunga mkono budget
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Walimu wa shule za msingi na sekondari nchini wametanzaza mgogoro na serikali wakiwa na dhamira kubwa ya kugoma kama madai yao ya maingi hayatatimizwa ikiwa ni pamoja na nyongeza za mishahara...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom