MKAKATI wa kumng'oa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama, anayedaiwa kushindwa kukiendesha chama umeshika kasi, Tanzania Daima Jumapili limebaini.
Mbali na Mukama, baadhi ya...
Katika matokeo ya Kipima Joto katika ITV usiku huu kuhusu mgomo wa madaktari ni kwamba asilimia 60 ya Watz walioulizwa wanasema jitihada zote za kutatua tatizo hilo zimeshindikana, hivyo hakuna...
kama ukatibu uenezi ni huu chama linadondoka nape we subiri lowasa achukue chama uone utakavyotoa povu kwa elimu,ushawishi,umaarufu,hekim a,busara pesa na elimu hymuwezi lowasa sasa utajuwa lowasa...
Wakati serikali ikikimbilia kuzuia mgomo mahakama kuu ya kazi, madaktari wanashangaa.
Serikali imeweka zuio la mgomo wa madaktari wa chama cha madaktari MART wakati madaktari wanafanya mgomo...
SOURCE MWANANCHI LEO TAREHE 24/06/2012
Na Peter Saramba, Arusha | 24 June 2012
KAMPENI ya Chadema ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) inayoandamana na kauli mbiu ya vua gamba vaa gwanda leo itatua...
Ningependwa kufahamishwa na wana jf wenzangu kama ni kweli kwamba wabunge wote wa Tanzania ni wanasiasa? Mfano, mbunge wa Rorya Lameck Airo hajawahi kufungua kinywa bungeni kuuliza swali hata...
Unene si hoja unaweza kuwa mnene lakini Ukiumwa unaenda hospitali unakosa panadol kwa hiyo dawa ni kudundana kwanza street bila sababu
THREE BIG WOMAN FIGHTING IN ST. ANN - VERY HILARIOUS!!! by...
Na Mwandishi wetu - Imechapwa 20 June 2012
WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, William Ngeleja ametajwa katika "mpango" wa kampuni binafsi inayodaiwa kutaka kuchota fedha katika Wakala wa...
Karibuni kwa mjadala ambapo Leo tunaangazia mjadala mzima kabla ya kupitishwa kwa bajeti
Dar yupo Baruani Muhuza, William Malecela LE MUTUZ, Deus Kibamba, na Mza Yahya M na Donald Kasongi
Dodoma...
Baba wa Taifa, Mwl. J.K Nyerere katika kitabu chake kiitwacho UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA ukurasa wa 50 anasema hivi:
RAIS MWINYI NI MTU MWEMA NA MPOLE, LAKINI NI DHAIFU; NA UPOLE WAKE...
Baada ya bajeti hii kupita kwa kishindo, CDM itakuwa imevunja rekodi ya kuwa Chama kinachosimamia mambo hewa yasiyokuwa kila kukicha, itabidi sasa wabadili jina!!! Napendekeza kiitwe CHAMA...
OUR President is important; but, he is not Tanzania. All of our people organaized together are Tanzania- (Julius Nyerere, Julai 29, 1985)
Ndugu zangu,
Watanzania wengi hatuna mazoea ya kusoma...
kama kawaida mbunge kijana ndugu JJ MNYIKA anaendelea kuanika ''udhaifu'' wa serikali.
kama serikali ina majibu isisite kutoa taarifa kwa umma!!
Kwanini niliomba muongozo-Sakata la Mgomo wa...
Kama wapiga kura ndiyo wanaowapa jukumu la uwakilishi kwa wabunge na madiwani, basi waruhusiwe kuwaondoa pale itakapothbitika kuwa hawatimizi wajibu wao wa kuwawakilisha kama ilivyotarajiwa...
Asalaam Wana-JF,
Nikiwa kama Mtumishi Serikalini na ambaye ninahusika na masuala ya Mishahara ya Watumishi, nimesikitishwa na namna ambavyo baadhi ya wadau wanavyojaribu kupotosha umma kuhusu...
Kwa hali ilivyo sasa na haya tunayojifunza katika siasa za leo, natamani kuona mtu atakaenichambulia hizi dhana mbili na kutuambia kuhusiana na Raisi tunaemtaka kwa sasa.
Nataka kuona dhana ya...
Wanaofikiria kuwa Muungano utavunjika hawajui historia ya Zanzibar, wao wanasoma vitabu na wasifikiri kuwa Ikulu ya Zanzibar itaongozwa na mtu anayeutaka urais wa kwenye vitabu, haiwezekani...
Mengi yamesemwa kuhusu bajeti ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2012/13.
Hivyo kwa wale wafuatailiaji na hata wale ambao hawafuatilii kila mmoja ameshudia mijadala kila...
Jamani wanajamii forum naombeni CV ya mheshimiwa mlugo, ninamashaka sana Elimu yake na uwezo wake kuongoza.Kwani kunasiku alikaririwa na vyombo vya habari akisema walimu hawastail kukopeshwa fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.