Ushauri: Chadema jaribuni kumtumia Prof Lipumba kutengeneza Bajeti Mbadala. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: Chadema jaribuni kumtumia Prof Lipumba kutengeneza Bajeti Mbadala.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Jun 23, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kutokana na aibu iliyotufika kambi ya upinzani katika kikao cha bajeti kilichomalizika jana, kwa kutengeneza bajeti mbovu na isiyoeleweka, mpaka wabunge wa CCM kuifananisha na bajeti ya Harusi, hii inaonesha kuwa kambi ya upinzani bado hatujajipanga kuongoza serikali na ilhali kambi ya upinzani tunao wachumi wazuri mf. Prof Lipumba kulikuwa na ugumu gani kumshirikisha katika kuandaa Bajeti mbadala? au ndio ubinafsi ule ule unaofanywa na ccm dhidi ya kutowashirikisha wapinzani, Prof kahigi kalisema hili wakati akichangia, serikali inaona ugumu gani kumtumia Prof Lipumba? na upinzani nasi tunafanya yale yale, je? kwa hali hii watanzani tutapata Maendeleo?
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sawa tumekusikia SIMBACHAWENE!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama CCM mnamuona Prof Lipumba ana mchango wa maana kwanini hamkumtumia kuandaa bajeti yenu? Imelazimu rais Kikwete kupiga kambi Dodoma ili bajeti ipite kwa sababu ni bajeti mbovu. Kwa miaka miwili mfululizo mmeandaa bajeti inayopingana na mpango wenu wa maandaleo kwa miaka 5. Sasa kuna bajeti 2 tu zimebaki kufikia 2015. (Sihesabu bajeti ya mwaka 2015 kwa sababu haitasaidia kitu). CCM wamejifunga goli wenyewe.
   
 4. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lipumbu yupi? Yule aliekuwa mshauri wa Mwinyi? Walipika tambi na khalua hapa ikulu na mwishowe maalhaji hawa walitoka ikulu Tanzania pamoja na Utajiri wote tulikuwa namba moja kwa umaskini Duniani,
   
 5. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwigulu kiboko yako, this is precisely and concisely Rubish
   
 6. k

  kibaja Senior Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lipumba kazi yake kuporomosha shilingi, rejea wakati wa mwinyi kama ulivyosema lakini pia uganda kwa mseveni alifanya hivyohivyo
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  lipumba yupi Huyu WA Uamsho?
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280

  FJM

  Kwa hiyo Prof Lipumba hawezi kutoa msaada wowote kwa Chadema? Wakati mwingine ukiangalia unaona hakuna tofauti kati ya Chadema na CCM wote wamejaa ubinafsi, uwezi kumtumia Lema au Sugu kwenye kuandaa bajeti ukamuacha Prof Lipumba.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ZITTO KABWE akichukua kitu kama ni Chake haambiliki anakifanya ni cha faida yake

  sifa iwe yake sio ya CHAMA CHAKE NI YEYE... MTU kama yeye ni wa kumuogopa sana;

  akitawala Nchi ataishia kuwa Dikteta sababu anapenda Sifa zimuangukie yeye

  kuliko ya Wote wanaofanya kazi na yeye...
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Duh.....Nimecheka vibaya. Hapa siwezi kutoa comment nisije nikaonekana nina hila bure!
   
 11. z

  zamlock JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ww ni ccm
   
 12. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Acha ujinga wewe, kma tz inao wachumi km lipumba, nchemba na wengineo tz isingekuwa maskin namna hii. Nchi ni ya tatu kwa umsiki dunian, halafu we mkigoma unaandika ujinga kuwa mna wachumi, wemesaidia nini tz?. Umaskin unazidi kuongezeka halafu unaandika ulimbwende humu. Acha hizo.
   
 13. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Siyo ubinafsi tu mkuu, tatizo langu pia liko kwenye zile "A" za Finance wanazodai walizipata pale UDSM, huenda sasa zimezeeka.
   
 14. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 3,427
  Trophy Points: 280
  Duh! sikuaua Prof. Lipumba ana reputation mbaya kwa baadhi ya watu, nilijua Lipumba anakubalika kote bana kumbe sio.
   
 15. talentbrain

  talentbrain JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 903
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  point of collection.

  Kama chadema walimwacha Zitto pekee aandae maoni ya upinzani hali ya kuwa wanajua naye ni binadam, sishangai kuona makosa yaliyojitokeza. Ila tuwaze kama walimwacha afanye hivyo angeunga mkono 100% ingekuaje?
  Tunaotoa mada tutofautishe maoni ya upinzani juu ya bajeti na bajeti kamili kwani hata wat so called bajeti ya upinzani ingekuwa nzuri namna gani isingetumika badala ya ya serikali. Je, zile nzuri za cuf 2005-2010 waliwahi kuzisema nzuri wazitumie?
   
 16. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  utapata tu unalotafuta, ukumbi huu!!!!!

   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kuwa na A sio majibu ya kuandika BAJETI YA SERIKALI; Inahitaji Ushirikiano wa Wanauchumi kwenye Nyanja Mbalimbali

  Na Pia Unajua kuwa na Akili za Darasani sio lazima zikuweke Mbele katika Mapigano katika Maisha? Unaona Ukiwa

  Shule Mwenye Akili Mara nyingi huwa ni watu wanaojitenga; lakini, kwa BAJETI inahitaji Ushirikiano wa taaluma kufanya

  Bajeti kuwa BORA na Nzuri na hapo yeye hana... ni umimi tu...
   
 18. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nimeleta hoja tuchangie kwa kuwa ikiwa bajeti ya upinzani ingekuwa ni kishawishi tosha kwa wanainchi kuzidi kuamini wapinzani wana uwezo, Prof Lipumba hii ni taaluma yake na ameishazishauri hata nchi za ulaya, mf. sweden, Denmark na Finland na Dunia, mtu kama ana uwezo apewe sifa zake na apewe kazi azifanye, tuache ubinafsi, na huu ubinafsi ndio unaofanya Taifa hili lisisonge mbele.
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Point of collection ndio point of correction? Pambaf
   
 20. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hajawahi kushauri nchi yeyote ya ulaya zaidi ya Uganda na Tanzania kipindi cha Mwinyi
   
Loading...