Mgomo wa Madaktari leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa Madaktari leo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rwamashugi, Jun 23, 2012.

 1. rwamashugi

  rwamashugi Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana janvi. Mwenye updates za kuanza rasmi kwa Mgomo wa Madaktari atujuze!
   
 2. e

  ellyjr8 Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kitu kiko pale pale..mgomo upo,muh2,amana,temeke,m'nyamala
   
 3. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbeya Referal, KCMC, bugando, Ifakara, Dodoma, kote watu wameweka tools down.
  Ni balaa.
   
 4. C

  Chibenambebe Senior Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama mahakama inajukumu la kuweka usawa baina ya pande zinazo pingana mbona kwa hili ni kinyume?. Mahakama inatoa amri ya kuwa hakuna kugoma na mazungumzo hakuna yalikwishavunjika. So hawa wakimbilie wapi na kesi huwa zinachukua hata miaka 7 bila kutolewa hukumu. Huu ni Ubabe ambao ni dhahiri hauhitaji hadubini kuweza kuubaini! Mzee usiyekuwa na aibu unayepelekwa kama kondoo asiyejua anakwenda wapi haya unayajua ndo maana unawaambia waende mahakamani coz unajua by the time kesi inakwisha utakuwa tayari umeshaaga kwenye siasa{siyo kwa mapenzi yako}.Lakini hakika jamaa watakutafuta. Hili mmelikanyaga litamtafuna mmoja baada ya mwingine!!!!!!
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Watz tutaendelea kuumia na kupoteza ndugu zetu mpaka lini? Ni wakati wetu sasa kuwa kitu kimoja na kuingia barabarani kudai haki yetu kwanini serikali inashindwa kututimizia angali kodi tunalipa, tukiendelea kuumia sisi wakati wao wakienda kutibiwa india? Tujue tu sisi wananchi ndio tuna kauli ya mwisho sasa kama mahakama ndiyo ilikuwa tegemeo letu ila kwasasa nayo imetawaliwa na siasa na usawa umekuwa haupatikani tena pale badala yake imekuwa na chombo cha kumkandamiza mnyonge kwa manufaa ya wachache wanaotunyonya kwa garama yoyote
   
 6. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  haya sasa udhaifu wa Mh. umeonekana.
   
 7. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ni kweli mgomo umeanza, MOI total tools down!!!!
   
 8. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Tunakoelekea na mahakama itagomewa kwa imekuwa kisiasa mno!
   
 9. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  serikali lege lege na rais wao dhaifu wameshindwa kazi.....naunga mkono madactari
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Bugando kama kawa tayari, OPD closed!!!
   
 11. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  I can't believe this. Even experimental animals can't be treated like this. It is shocking,,where is our country headings!
   
 12. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimekasirika sana leo. ina maana serikali imeshindwa kulimaliza hili swala???
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Hivi hawaoni aibu jamani sekta nyeti mara ya 3 wanagoma serikali haijali kwa nini hawamalizani nao?walikimbilia ikulu kufanya nini??au kusafiri?
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  lini umewahi kuwa na selikali?
   
 15. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  it is heading to hell!!
   
 16. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 842
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Hali mbaya.
   
Loading...