Watanzania sasa tunavuna kile tulichopanda baada ya kupeleka wawakilishi wengi wa chama kimoja ambao wao kwao kitu muhimu ni chama kwanza na mwananchi baadae.Inasikitisha kuona namna ambavyo...
Leo niko napitapita kwenye vijiwe mbalimbali hapa BK mjini. Nimejulishwa kuwa katika Mkutano wa Mbunge uliofanyika hivi karibuni, wananchi wamempa ishara ya taa nyekundu Kagasheki.
Simulizi...
Mimi ni mmoja wapo ya Watanzania wachache tuliobahatika kupata kibaru angalau na kuingia kwenye mfumo rasmi wa kodi...PAYE. Pamoja na hilo pia nimekata health insurance hivyo nikiugua napata tiba...
Msajili wa vyama vya siasa amesema atafanya ukaguzi wa vyama vya siasa hasa vile ambavyo vipo na havifanyi siasa vinasubiri kipindi cha uchaguzi mkuu ndipo hujitutumua
amesema ikiwezekana...
nathubutu kuthibitisha kuwa, ushirika ni dhana muhimu na mwafaka kujenga uchumi wa kilimo , kwa wakulima wadogowadogo na wakubwa, ili kuongeza uzalishaji, kupata masoko , na kuongeza thamani ya...
katika hali ya kuonyesha ushiriano na umoja, nimeipenda hili swala la Baraza la Vijana wa Arusha kumtemeblea mke wa MArehemu Msafiri aliye uwawa kwa kikatili huko Arumeru Mashariki.
Nivema sana...
KAMA BABA WA TAIFA ANGEKUWEPO ANGESEMAJE KUHUSU MTANDAO WA JAMII FORUM
Nafikiri mnakumbuka kauli ya baba wa taifa mwaka 95 juu ya vyombo vya habari ambavyo vilikuwa msitari wa mbele kukosoa maovu...
Ndugu zangu,
Mizan al haq ina maana ya mizani ni haki. Asilimia 80 ya Watanzania ni wakulima. Mkulima anategemea mzani ili uamue uzito halisi wa ujazo wa mazao yake.
Lakini, ni mzani ndio...
Wanabodi ni wakati muhafaka kuwa kujadili mustakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo katika kile kinachoonekana kuweka maisha yetu rehani kwao.Tulikataa ukoloni tukawafukuza lakini sasa tunawafuata...
Gazeti la Majira la tarehe 21 Juni 2012 limebeba kichwa cha habari Siri ya kukataa bajeti yafichuka: Yadaiwa hilo ni shinikizo la nchi za magharibi; lengo ni kupora gesi, mafuta na madini ya...
Ukiacha ubishi usiokuwa na mashiko na ubishi wa jadi, Mzee Wassira leo bungeni umetoa shule yenye mashiko! Hongera sana! Umedhihirisha ng'ombe hazeeki maini na kuwa utu uzima dawa!! Hoja za...
Source ITV
Ni dalili za mgomo baridi na ukweli kuwa huduma zimezembea na serikali yatishia atakaye goma kushitakiwa na hakuna ruhusa ya kufanya mikutano na mikutano yote ni haramu
jana baada ya budget dhaifu,komba alianzisha wimbo wa kusifia magamba kwa kutaja jina la chama.sasa kati ya watu wa liosema ndiyo kwa budget dhaifu mh,cheyo nae alikiua mmoja wao.
pia kwa upeo...
Ni kipindi cha miaka mingi tangu baba wa taifa aliyeanzisha mwenge wa uhuru kufariki.hata baada ya baba wa taifa kufariki, serikali ya CCM imendeleza dhana ya kutembeza mwenge miaka hadi miaka...
Heshima Kwanza!
Crisis and deadlock when they occur they have at least this advantage, they force us to think. Jawaharlal Nehru (1889-1964) Mwanasiasa wa India
Kwa nchi zilizopitia kwenye...
The Zanzibar government has said that the question of oil and natural gas cannot be removed from the list of union matters before proper legal procedures are followed.
The clarification was given...
Sisi ni walimu wa ajira mpya 2012 manispaa ya Kinondoni. Wakati tunaanza kazi Februari na kama ulivo utaratibu (standing order), tuliambiwa tuandae documents za kulipwa hela ya nauli, mizigo na...
Wana JF
Singehitaji kupoteza muda kujadili gharama za Baraza la Mawaziri Tanzania kwa maana hilo liko wazi.
Pia ni wazi kuwa kuna hatari ya baadhi ya Wizara kuingiliana kikazi,Wizara ya Ujenzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.