MADAKTARI,WALIMU....ole wenu MSIGOME...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...
 
Hata kama ukiwa upinzani haipendezi kuhamasisha jambo la kutesa binadamu wezako..... hakuna mgomo usioumiza watu.
 
Tumechoka kuwasikia
mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana
nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua
mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo
tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono
kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

unamwaga petroli kwenye moto?
 
sasa ndugu yangu VUTA-NKUVUTE mbona kama unaugombeza tena? Hebu weye tuambie manake tunahitaji pamoja na mawazo ya watu wengine kama nyie yatakayo tuongezea nguvu katika hoja zetu so tunakaribismaoni has ya utaalam wa kisheria kabisa.
 
Last edited by a moderator:
sasa ndugu yangu VUTA-NKUVUTE mbona kama unaugombeza tena? Hebu weye tuambie manake tunahitaji pamoja na mawazo ya watu wengine kama nyie yatakayo tuongezea nguvu katika hoja zetu so tunakaribismaoni has ya utaalam wa kisheria kabisa.
Mgogoro wa madaktari ni mgogoro wa kimaslahi.Huu unapelekea mgomo halali wa kisheria kama taratibu zifuatavyo zitafuatwa.Kwanza,mgogoro uwe umepelekwa kwenye Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.Pili,mgogoro ubaki bila utatuzi kwa kipindi cha siku thelathini au kipindi kingine cha nyongeza cha Msuluhishi cha siku thelathini.Tatu,mgomo unaitishwa na Chama cha Wafanyakazi kufuatia kura kupigwa kikatiba ya chama huku wengi wakiunga mkono mgomo.Na tano,Notisi ya saa arobaini na nane iwe imetolewa kwa Mwajiri(hapa Serikali).Mkuu,hizo ndizo hatua za kisheria za mgomo halali.Kinyume na hapo,Serikali yaweza kufanikiwa kuweka Pingamizi au hata kuwaadhibu wagomaji.Walimu na Madaktari na wasikie...
 
Mkuu serikali imesema imeshakwenda mahakamani, je wagonjwa hawatatibiwa hadi mahakama itakapotoa hukumu?

ubarikiwe sana kwa kutukumbusha haya,ngoja na sisi tuyafanyie kazi.
 
watu wenye mtindio wa ubongo pekee ndio wana uwezo wa kuandika post/sred kama hii ya kinyama kabisa.
 
mimi kama rais wa tano,napinga kabisa mgomo wa madaktari kwa sababu babu yangu na bibi yangu na wazazi wangu ni wagonjwa na hawana uwezo wa kwenda India wala hindu mandal wala regency hospital.
 
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

Ikitokea ukapata ajali wewe ama jamaa yako wa karibu, halafu ukaenda Hospitali na kukosa huduma ya haraka na kuleta madhara, ndiyo utapata upeo wa kujutia uhamasishaji wako. Cha msingi hapa ungeshinikiza serikali iweze kutatua matatizo ya madaktari na wauguzi kwa haraka bila kuingiza siasa. Hii itasaidia kuendelea kwa huduma ya afya na pengine kuwahamasisha waganga na wauguzi wetu katika kutupatia huduma bora.
 
Doctors and Teachers we are tired of this ufisadi syndrome. This time NO RE-TREAT NO SURRENDER just go ahead with strike
 
Ikitokea ukapata ajali wewe ama jamaa yako wa karibu, halafu ukaenda Hospitali na kukosa huduma ya haraka na kuleta madhara, ndiyo utapata upeo wa kujutia uhamasishaji wako. Cha msingi hapa ungeshinikiza serikali iweze kutatua matatizo ya madaktari na wauguzi kwa haraka bila kuingiza siasa. Hii itasaidia kuendelea kwa huduma ya afya na pengine kuwahamasisha waganga na wauguzi wetu katika kutupatia huduma bora.

Govt wamesema wanakwenda mahakamani, sasa ujue mgogoro utaisha lini.
 
Watanzania wananikumbusha enzi za ludism pale ludists walivyokua wakidestroy machines wakiamini machines ndio adui wao wakati adui wao walikua ni capitalist ambao ndio waajili wao.WATANZANIA HAPA ADUI YETU NI SERIKALI NA SIO MADAKTARI JAMANI,DAKTARI HANA KOSA NA SISI HATAUNA MKATABA NA DAKTARI BALI NA SERIKALI.LET'S STOP CHASING THE WRONG ENEMY AS THE LUDIST DID!.
 
Tumechoka kuwasikia mkinung'unika juu ya maslahi na madai yenu.Mmekuwa wasemaji sana nyinyi.Sasa tunataka matendo. Simamieni haki zenu.Ziteteeni.Kama mtaamua mambo yaendelee yalivyo,nyamazeni milele.Tumewachoka na sms zenu.

Tumewachoka na 'conference' zenu.Tarehe zenu za migomo tunazijua.Tutazizingatia.Msipogoma,msitujue tena.Hatutawaunga mkono kivitendo wala kimawazo.Fanyeni kweli.Ole wenu msigome...

Hata mimi naunga mkono mgomo wao kwa sababu zifuatao;
1. Maslahi yao ni bora kuliko uhai wa mlala hoi ambaye ndiye mlipa kodi
2. Nchi hii ina watu wengi sana kwa sababu mgomo wao utasababisha wengi kupoteza maisha hivyo tutakaobaki basi tutafaidi ajira za marehemu (si ya madaktari).
3. Wanaowauguza wagonjwa wao katika mahospitali mbalimbali nchini wataweza kutunza pesa zao walizokuwa wanatoa rushwa kwa madaktari ili kupata huduma katika hospitali za serikali kwani wagonjwa wengi watakuwa wamepoteza maisha.

Kuhusu waalimu wa santa kayumba wao wagome tu hata miaka 10 mbona hata kabla hawajagoma kuna wanafunzi wanaingia kidato cha kwanza hawajui kusoma wala kuandika. Hata hivyo hao mnaowashinikiza watoto wao wanasoma shule za FM academia.

Ombi: Tuwaomba msiwashawishi madaktari wa hospital ya Appolo nao wagome kwani viongozi wetu wanapata huduma kule.
Pendekezo: Baada ya mgomo wa madaktari uje mgomo wa walipakodi
 
mimi kama rais wa tano,napinga kabisa mgomo wa madaktari kwa sababu babu yangu na bibi yangu na wazazi wangu ni wagonjwa na hawana uwezo wa kwenda India wala hindu mandal wala regency hospital.
msimu mwingine wa mavuno kwa akina Profesa maji marefu
 
Haki haiombwi inadaiwa,hivyo kudai kwenu haki msizubaishwe na wanasiasa.
 
Back
Top Bottom