Wazanzibari kumbukeni Historia - Utumwa wa Kiarabu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari kumbukeni Historia - Utumwa wa Kiarabu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by maggy, Jun 24, 2012.

 1. m

  maggy Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbukeni historia - nawashauri msitake kuruhusu Historia hii ya utumwa wa kiaarabu ijirudie.
  Kumbukeni pia wale wote mlio na rangi nyeusi mmetokea Tanganyika!!!
   

  Attached Files:

 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wazanzibar, bora mtawaliwe na Mtanganyika kuliko mwarabu. Mwarabu atakuchapa kwa mijeledi na bado atakudidimizia mti
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Unawatusi wazanzibari, kwani muungano ndio uliwatoa utumwani. Unajua hawa watu ni wa kuheshimiwa, ili tubaki na muungano.
   
 4. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wacha kusema uongo wewe wapi umeona waarabu ndio waliosababisha utumwa ? Nenda Zanzibar utajuwa nani alikuwa anafanya hio biashara ya utumwa, ukifika zanzibar kwenye makanisa ya Mkunazini utakuta mule ndani makanisani ndio walikuwa wakihifadhiwa watumwa ? je yale makanisa yalijengwa na waarabu tena mpaka leo zile sanamu zipo kanisani wacheni kudanganya watu munawachukia waarabu kwa uisilamu wao na wala semeni jengine free zanzibar
   
 5. a

  abu alfauzaan Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora muarabu alikua anatuchapa viboko wakati wa kazi,kuliko mtanganyika ambae anatupga mabomu na marungu misikini mwetu,
   
 6. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  I laughed , laughed and laughed at your dirt cheap propaganda.
   
 8. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hahahaha umenichekesha sana.
   
 9. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 10. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  ki historia hakuna hata mzanzibar 1 alieuzwa kama mtumwa, wa znz walikuwa wanapokea watumwa na kuwauza

   
 11. N

  Nyangaluda Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 25
  Muunangano ni kero na asilimia kubwa ya Watanganyika wala hatuupendi hauna!
   
Loading...