CHADEMA zikowapi nguvu z'bar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA zikowapi nguvu z'bar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Isalia, Jun 23, 2012.

 1. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Ni chama kikuu Tz lakini nashangaa nguvu zake zaidi kaelekaza Tanzania bara tena katika mikoa ya kaskazini vipi kuhusu Z'bar hamna haja na urais 2015 kwani CCM na CUF hazina mvuto tena, sera zao zimepitwa na wakati hasa CCM juu ya sera zake za muungano
   
 2. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbeya, Mwanza, Shinyanga na hivi juzi juzi Lindi na Mtwara ni kaskazini? kaangalie posho kwa nepi.
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Kwani CCM in MVUTO Zanzibar? Kura za Zanzibar ni 200,000 hizo zinapatikana bara bila hata ya kupata kura hata moja

  Zanzibar; Nadhani uliona Uchaguzi wa 2010 Kikwete alimzidi Mgombea wa Chadema kwa Kura ngapi; Chache na hapo

  CCM imechakachua hizo Kura; Chadema ILISHINDA MWANZA MIJINI kura zaidi ya Milioni Sio Kaskazini tu; Ilishinda Iringa

  Mijini, Mbeya Mjini sasa wewe unataka kuleta UGONJWA WAKO WA KIBAGUZI; INABIDI TUKUHAMISHIE SOMALIA

  UNAFAA HUKO, UENEZE HIZO CHUKI ZAKO...
   
 4. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Hivi nyi magamba tz ni cdm tu?. Nccr,cuf udp vyote hivyo ni vyama. Mbona mimacho inawatoka utazani mjusi kabwanwa na mlango mnaposikia chama dume?. Achen ushamba.
   
 5. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mkuu, mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe. tendwa kasema atafuta vyama vyote vya briefcase kwa hiyo vijiandae eg updp,tlp,udp etc
   
 6. O

  Optimisticforchange Member

  #6
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Sina hakika kama we mzima. Lakini kwamba umetumwa nina uhakika. Sasa refer mkutano wa M4C jana Viwanja vya Tabata Kimanga unajibu hoja yako. Then kachukue mkwanja wako huko kwa magamba.
   
 7. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Sisi tunataka tanganyika yetu huko uamsho na uchomaji makanisa vinawatosha
   
 8. M

  Mohammed Suleiman New Member

  #8
  Jun 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanganyika ilikufa zamani sana mkuu sizani kama itafufuka
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  upu*uzi
   
 10. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Hivi bado kuna wzatu wanaosema CDM ni ya kaskazini tu? Hauoni Mbeya,Mwanza etc.
  Wewe mleta thread ni dhaifu tena sana dhaifu.
   
Loading...