Mahakama yatoa amri ya kuzuia mgomo wa madaktari hapo kesho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama yatoa amri ya kuzuia mgomo wa madaktari hapo kesho!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicas Mtei, Jun 22, 2012.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,568
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mahakama kuu divishen ya Kazi imepiga marufuku mgomo wa madaktari ambao ulipangwa kufanyika kuanzia kesho.

  Source- Habari ITV
   
 2. s

  simon james JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgomo kama kawa kesho. Madaktari viva
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Haya Naona mambo yameiva
   
 4. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Utanilazimisha kufanya kazi. Hizi mahakama dhaifu sana
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,827
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Wataendelea na mgomo baridiii Kama tursker
   
 6. Makirita Amani

  Makirita Amani JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  tehe tehe...
   
 7. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,827
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Join Date : 22nd June 2012
  Posts : 1
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0​
  ban hiyo kwi! Kwi! Kwi!
   
 8. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,568
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nani huyo?
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 3,995
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hivi unaweza kumlazimisha daktari au mwalimu kufanya kazi? :A S confused:
   
 10. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 22,237
  Likes Received: 27,313
  Trophy Points: 280
  Mahakama kuu kitengo cha kazi chazui mgomo wa madaktari uliopangwa kuanza rasmi kesho.
  Kwa maana hiyo watanzania tujiandae na mgomo mbaya kabisa ambao kwa mtazamo wangu utakuwa ni mgomo baridi ambao ni hatari zaidi na itakuwa kama cancer inayoua taratibu endapo hakuna juhudi zitakazochukuliwa kutatua mapema mgogoro huu.
  source:taarifa ya habari ya saa 2 usiku ITV.
   
 11. RUV ACTVIST.

  RUV ACTVIST. JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 468
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wataalamu wa sheria naomba nisaidieni, serikali imezuia mgomo wa madaktari mahakamani. Nini kitatokea kama madaktari wataendelea na mgomo kisheria?
   
 12. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 14,322
  Likes Received: 6,044
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo tumeamua kusogeza huduma ya matibabu segerea


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,827
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Mimi mwenyewe nimeila muda si mrefu
   
 14. e

  evvy Senior Member

  #14
  Jun 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante!...
   
 15. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 1,760
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Watashtakiwa kwa kudharau Mahakama, na wakipatikana na hatia, ni moja kwa moja lupango.
   
 16. G

  GTesha JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mi mwenyewe nagoma, kesho siendi kibaruani na nipo on call na hata kama nikienda sikugusi mgonjwa
   
 17. R

  RC. JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu karibu JF feel at home enjoy the place!
   
 18. R

  RC. JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia vizuri huyu ni mgeni sasa atapataje credit wakati kajiunga leo?
   
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye bold,what is the plan B
   
 20. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,562
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  walimu nao si waliamuliwa na mahakama wasigome hapo nyuma, eti warudi kwenye meza ya maelewano na serikali, lakin hamna kilichoendelea hadi wanataka kugoma tena....hii movie ya serikali mbona siielew elewi.!
   
Loading...