huku madaktari wamegoma
huku daktari kiongozi anatekwa na kuteswa vibaya kiasi cha kutaka kutolewa roho
huku waziri mkuu anasema liwalo na liwe kwa huu mgomo wa madaktari
huku spika anaruhusu...
Rais wa Tanzania atasafiri muda wowote kuhudhuria sherehe inaitwa Canada Day 2012 nchini canada,mawazo yetu wote tunatazama kwa makini kama safari hii ataacha madaktari wamegoma na watanzania...
Ofisi za TCU zimevamiwa usiku wa kuamkia leo na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Walinzi wake wamelewa kwa kinachaodhaniwa ni madawa ya kulevya waliyonyweshwa na hadi majira ya mchana huu...
Hivi ni kwanini sisi watanzania ni waoga namna hiyo,nimetangaza azma ya kufanya mabadiliko tunahitaji wabunge vijana kwa mkoa wa iringa eti watu wanaogopa ni lini tutakuwa weledi wa malengo yetu...
Kweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka...
Hivi hii TBC taifa inayoendeshwa na kodi zetu mbona huwa inatangaza tu kipindi cha maswali na majibu bungeni na baada ya maswali kwisha wanakatisha matangazo na kutupigia miziki. Hii radio ina...
Mtakubaliana na mimi kwamba. Prof. Baregu aliona mbali sana kable ya kuandika haya makala. Aliyoyazungumzia ni kama utabiri wa aina fulani. Huyu nzee amenifundisha pale mlimani, na kusema kweli ni...
Kaka Wenje,yule mbunge wa nyamagana,leo kanitamanisha,bora mjengoni wakabaki wabunge wa Chadema peke yao,kuliko wabunge wote wa Ccm..! Kachangia vizuri sana,,,suala la ukubwa wa Balaza la mawaziri...
Watanzania sita wenye account Nchini Uswiss wamekutwa na jumla ya Tzs 300.00 Billion. Fedha ambazo kama zingetumiwa vizuri; zingeweza kutatua matatizo mengi wanayoyalalamikia Madaktari na...
Watanzania wamechoka kusikia habari za rushwa iliyotolewa katika ununuzi wa rada ya nchi. Suala hili limejadiliwa Bungeni zaidi ya miaka 4 sasa bila kuona wahusika wanachukuliwa hatua badala yake...
WAnasema Zanzibar ni koloni la TAnganyika; wanatuita watu wa bara kuwa ni "wakoloni"; wanasema bila hata kufikiria kuwa ati Muungano hauna uhalali kwa vile hakukuwa na kura ya maoni; kwamba ati...
Kesho asubuhi kuanzia saa moja kamili asubuhi wabunge wawili wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma za jamii, mh Dkt Hamis Kigwangalla (CCM) na Mh Dkt Hussein Ali Mwinyi ambaye ni mb na waziri wa...
Watanzani tulidai uhuru kutoka kwa wakoloni wa kizungu ili tuache kunyonywa na kukandamizwa.Sasa mtanzania mwenzangu hebu jiulize ktk hayo kweli tumefanikiwa?Hivi watu wanaotuibia kama mafisadi...
Wana JF heshima,
Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza...
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametangaza kiama kwa vigogo wa dawa za kulevya na kuwataka watafute kazi nyingine za kufanya vinginevyo siku za kukamatwa kwao zinahesabika.Pinda alisema hayo jana...
Hawa jamaa wameweka wazi wanachokitaka na hakuna shaka kuwa uamsho ni taasisi ya kidini inayofanya siasa za kuikomboa Zanzibar.
Haya yako kwenye aya ya mwisho ya taarifa yao kwa vyombo vya...
Kuifananisha Zanzibar na mkoa wowote wa Tanzania Bara imekuwa ni dhana ikikataliwa hasa na wazanzibar. Tunakumbuka Julai 2008, Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliingia matatani aliposema Zanzibar siyo...
Toka ateuliwe kuwa waziri mkuu mh mizengo pinda amewahi kutoa kauli nyingi sana ndani na nje ya bunge baadhi nazikumbuka na baadhi nimezisahau na kuna ambazo labda sikufanikiwa kuzisikia.
ila kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.