Kikwete safarini TENA!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Rais wa Tanzania atasafiri muda wowote kuhudhuria sherehe inaitwa Canada Day 2012 nchini canada,mawazo yetu wote tunatazama kwa makini kama safari hii ataacha madaktari wamegoma na watanzania wasio na matumaini wakipoteza maisha na kupanda zake ndege kuelekea huko kwa wazungu!
 
Mkuu, Mnyika alishasema jamaa ni dhaifu, unategemea nini? yetu macho ni tarehe1 july utaona V.Dagama anachanja mbuga
 
Kale kamradi ka bo kamwamchia ritz, ila pm kwake ya kuniletea tofali 2015 hima.
 
Last time ameenda marekani akarudi na picha kibao amepiga na 50 cent,this time around nasikia kutakuwa na suoerstars kibao from WWE,na lazima arudi na picha za JOHN CENA and the LIKES.Big up VD.Thats what you are good at.
 
Mr.president I don't know what to comment since you can see for yourself all of
this chaos in this poor country of yours.
Now deal with this problems see ,Doctors,Teachers I don't know what will came next
may be even the police and the soldiers will join in.
 
Nanunsa 'state corruption' hapa. Kama kweli atakuwa amealikwa na akaenda kwenye hiyo sherehe basi tuna tatizo. Hawa Canada waliwaandalia chakula wabunge mwaka jana, na sasa naona mwaka huu wanamlenga Rais. Yote hii ni kutaka madini ya nchi.
 
Aende tu maana hata akibaki hana faida yoyote kwa nchi yetu zaidi ya kuwa na faida kwa wanaukoo wake pamoja na marafiki zake.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Nanunsa 'state corruption' hapa. Kama kweli atakuwa amealikwa na akaenda kwenye hiyo sherehe basi tuna tatizo. Hawa Canada waliwaandalia chakula wabunge mwaka jana, na sasa naona mwaka huu wanamlenga Rais. Yote hii ni kutaka madini ya nchi.

Aibu sana kwa ******
 
Ataondoka tu mbona ni kawaida, kama yeye na wabunge wake wanauwezo wa kutibiwa Appollo mgomo unamuhusu nini.
 
wana jf nawakubali sana kwa makomenti yenu...mko juu! duh, nimekufa mbavu mwenyewe hapa! ooh, by the way, napita tu wakuu!
 
Wakati umefika wa kuwaambia wenzetu huko hiyo mialiko yao huku kwetu hatuitaki kwani, tunaacha kushughulikia mambo muhimu tunafanya safari tu. Hatutaki tena mwacheni Rais wetu ndio maana watu wanamwita Dhaifu kwani yeye kila akiona mwaliko tu anakimbilia
 
Back
Top Bottom