Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara zote mgomo wa madaktari ni jambo la mwisho kabisa katika jamii; ni ishara ya mambo kuwa mabaya na ushahidi wa kushindwa kwa sera za walioko madarakani. Kuanzia mwaka 2006 wakati ule mgomo wa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Ili kusikilizabonyeza hapa: http://tunein.com/tuner/?StationId=158711& Redio ikifunguka usiache ku LIKE na kutuma maoni yako kwa info@arushamambo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama nyie ni good observants kuna uhusiano gani wa safari ya kukurupuka ya hii kamati inayoongozwa na bwana EL kipindi hiki cha Bunge? Mi naomba ziwekwe CCTVs (surveilance cameras) kum-monitor...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Kwa muda mrefu sasa serikali imekuwa ikilipa benefits kubwa, posho kubwa na mishahara mikubwa kwa wanasiasa huku ikiacha wafanyakazi wa ngazi za chini kama madaktari na walimu wafe kwa njaa...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
JUMATATU, JUNI 25, 2012 05:16 NA BENJAMIN MASESE, DAR ES SALAAM Na Gazeti la MTANZANIA CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka viongozi wa Serikali na Jeshi la Polisi...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Siungi mkono mgomo wa madaktari na pia siungi pia serikali dhaifu isiyojua kuwa swala la afya ya watanzania ni jukumu lake. Nimesikitika sana wagongwa wa fast tract ndo wanopata huduma muhi2 na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ni kuhusu misitu, majangili wanaovamia misitu na dhahabu,, kwenye msitu wa shengena jimboni kwake,,, ambapo amesema ametoa filam kwenye msitu huo,,
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Kufuatia mwendelezo wa mgomo wa Madaktari unaoendelea nchini, serikali imeamua kutumia mhimili wake wa Mahakama kushurutisha madaktari kusitisha mgomo na kurudi kazini. Wakuu naweka taarifa kama...
2 Reactions
61 Replies
6K Views
Serikali kupitia mahakama kuu, imeamuru MAT(chama cha madaktari tanzania) kutangaza kuwa hakuna mgomo. Kumbe Madaktari walishaliona hili tangu mgomo wa mwanzo, pale walipoiengua MAT isijihusishe...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wed, Jun 27th, 2012 Tanzania | Former Prime Minister Edward Lowassa has urged the government to use discovered natural gas reserves as collateral to borrow money and put up industries to...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Walimu tunafanya kazi katika mzingira haya .Hatuna vitambulisho vya kazi tulio wengi. .Barua za kusibitishwa kazini .TSD No .Kadi za bima ya afya hatuna,wakati hela tunakatwa n.k hebu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mgomo wa Mortuary Attendants (MAs) nchi nzima unakuja. Katika kikao chao kilichokaa mjini Sikonge mkoani Tabora juzi wameamua kuanza mgomo tarehe 1.7.2013 kama serikali haitawatimizia madai yao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF, Tunapenda kuwatangazia kwamba, usiku huu, kuanzia saa tatu na nusu mpaka saa nne na nusu (21:30 - 22:30 EAT) tutakuwa na kipindi cha moja kwa moja (LIVE) kwenye station yetu ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba mnikumbushe website ya wananchi wa tanzania,imenitoka kidogo.
0 Reactions
0 Replies
905 Views
WAKATI kukiwa na mgawanyiko mkubwa kwa madaktari nchini katika kushiriki mgomo ulioitishwa na Chama cha Madaktari nchini (MAT), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Said Meck Sadik amepiga marufuku...
0 Reactions
111 Replies
11K Views
bunge la kenya limechukua maamuzi magumu na kupitisha sheria kwamba wabunge wote lazma wawe na kiwango cha chini cha elimu kwa kiwango cha SHAHADA. sasa, je bunge la tanzania wanalichukuliaje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni mara ya tatu sasa mgomo wa madaktari unatokea na mara zote uongozi wa nchi haonekani badala yake wanakuja kutusomea postmortem. Hivi nini maana uongozi maana sio katika hili tu bali ni kwenye...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mgomo wa madaktari jijini Dar es Salaam umeanza kushika kasi ambapo katika baadhi ya hospitali ikiwemo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wagonjwa walikosa huduma na kuishia kutangaziwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa,Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limegoma kutoa Madaktari kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Madaktari wanaogoma katika Hospitali mbalimbali za Rufaa, Teule na...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
watanzania tuwe makini kidogo na mwenendo wa serikali yetu! Ni muhimu kukumbuka na kuikumbusha serikali iliyopo madarakani kuwa inawajibika kwa wananchi na pia maamuzi ya mwisho ya jinsi gani ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom