Viongozi mbalimbali wamekuwa wakitoa hii kauli kuwa serikali ya Tanzania ni serkali ya ccm Nasema huu ni upotoshaji dhahiri kwa vile serikali ya Tanzania ni ya Watanzania, bali kwa sasa, narudia...
But there is something that I
must say to my people, who
stand on the warm threshold
which leads into the palace of
justice: In the process of
gaining our rightful place, we must not be...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarudia kutoa mwito kwa Rais Jakaya Kikwete kutumia mamlaka yake ya kikatiba kuagiza kukamatwa kwa watuhumiwa wote wa...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dk. Mohamad Reza Rahimi, atawasili jijini Dar es Salaam kesho tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi hapa nchini, ambapo atalakiwa na...
Kamati ya Bunge ya mambo ya nje,ulinzi na usalama imeanza ziara ya siku 14 katika balozi za tanzania kwenye nchi za marekani, ulaya na asia kukagua namna zinavyotekeleza mambo ya sera na uchumi...
FRESH NEWS: UKWELI KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI -II.
Leo ningependa turudi jamvini kujadili kidogo kuhusu huu mgomo wetu, awali katika sehemu ya kwanza ya mada hii, nilijaribu kuainisha madai...
Hivi hawa viongozi wetu (wanasiasa, mabalozi, wakurugenzi wa mashirika ya umma etc) katika maisha yao je wanaishi maisha yao kama kama ya watu wa kawaida?
Wanabodi,muda huu bungeni muda mfupi ulio pita wamechangia wabunge wawili wa CCM wa Lindi na Mtwara na kulaumu kuwa wabunge wa chadema wanaingia kwenye majimbo yasiyo yao na hivyo kuhatarisha...
Baada ya kutumia muda mwingi kukitetea chama cha Magamba (CCM) hapa JF bila kuweza kubadili upepo wa vuguvugu la ukombozi natangaza rasmi kuachana na siasa za maji taka za CCM na kujikita katika...
Written by ole // 27/06/2012 // Habari // No comments
Na,B.OLE,
Leo ni takriban miaka 48 ya Muungano kati ya Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Tanganyika tokea kuasisiwa kwake baada ya...
Posted on June 26, 2012 by zanzibaryetu
SUALA la Muungano limezidi kutawala mijadala katika kikao cha baraza la wawakilishi kinachoendelea huku baadhi ya wajumbe wakitamka wazi kuwa hawataki...
ziara iliyofanywa na CHADEMA katika mikoa ya lindi na mtwara imegeuka kuwa mwiba mkali kwa wabunge wa ccm ambao majimbo yao yalipitiwa na kimbunga cha ziara hiyo yenye lengo la kuleta mabadiliko...
Intelijensia iliolala na yenye mawazo mgando ikidhani kuwa kumuua Dr. Ulimboka au kumtesa itawaogopesha madaktari ili warudi kazini. Waliofanya hivyo waliaminishwa ama na madaktari wenzie kuwa...
Kitendo cha kiongozi wa jumuiya ya madaktari bw. Ulimboka kupigwa na watu wasiojulika wanaosadikiwa kuwa wameagizwa kudhoofisha mgomo wa madaktari kunaashiri kila idara ioneshe ubabe wake wa...
Nimekaa na kufikiri nikaona kama Jk ameingia ulingoni kupambana ngumi (kuiongoza Tz) ktk ulingo usiokuwa na muamuzi (raia ambao ni walalamikaji tu) na kocha wake (bunge). Halina mbinu mbadala. Jk...
Nimeshangazwa sana na urushwaji wa matangazo na picture wa star tv leo,,Tangu asbh pcture na houba vilikuwa vinaenda,,sambamba,,mara zamu ya mh kiwia wa Ilemela wa cdm alipoanza kuchangia hotuba...
Mbunge khatibu said haji wa jimbo la konde, kupitia Cuf,amewaomba wabunge wenzake kwenda Jando ili kujiepusha na hatari ya maambukizi ya ukimwi,kama walivyofanya wabunge 140 wa zimbabwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.