Ufisadi wa Rada usijadiliwe ni upuuzi mtupu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa Rada usijadiliwe ni upuuzi mtupu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjomba wa taifa, Jun 27, 2012.

 1. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watanzania wamechoka kusikia habari za rushwa iliyotolewa katika ununuzi wa rada ya nchi. Suala hili limejadiliwa Bungeni zaidi ya miaka 4 sasa bila kuona wahusika wanachukuliwa hatua badala yake Serikali imekuwa ikipoza machungu ya rushwa hiyo kwa kuipachika majina ya kupotezea kama "chenji ya rada" wengine wameibatiza na kuiita "ni vijisenti" .

  Wabunge wamekuwa wakitumia pesa za nchi kulijadili suala hili pasipo ukomo miaka yote.

  OMBI:Kama wahusika wa ufisadi huu imeshindikana kuwachukulia hatua basi wabunge fungeni midomo yenu tumechoka kusikia makelele yanayodhihaki wananchi huku mafisadi wanaendelea kutamba mitaani. Pangeni ziara muende kutembea nje ya nchi na starehe zote za dunia, tukutane majimboni uchaguzi ujao 2012.
   
 2. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  i mean uchaguzi ujao 2015
   
 3. T

  Twigwe Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu utaumia bure, wanaotakiwa kushitakiwa ndio hao hao walio na madaraka sasa na hata bungeni wamo zaidi ya 85% ya watuhumiwa, na nchi hii hatuna sera hiyo itakuwa ni kama kuvunja katiba kuwashitaki kwa vile walishazoe kula bila kuulizwa. I submit, thanks.
   
Loading...