Wabunge hawa wanaongoza kukaa kimya bungeni tangu walipochaguliwa 2010,ona listi hii

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,959
872
Wana JF heshima,
Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza swali,wala hata swali la nyongeza na pia hata kutoa michango.Baadhi yao katika hao wameishia kutoa michango kidogo tu.

Nimeamua kuwaletea wabunge hawa muone wenyewe. Katika orodha hii nimewa exclude mawaziri ambao wengi wao na niseme karibia wote hawajachangia.

Kama unayemwona kwenye listi ni mbunge wako una maoni gani kwake?

Wabunge wanaoongoza kukaa kimya bungeni toka 2010 walipochaguliwa
NaJina la MbungeChamaMaswali aliyoulizaNyongeza ya MaswaliMichango aliyotoa
1ABEID ALI BAHATICCM005
2ABDALLAH MARGARETH ANNACCM008
3AYOUB HASHIM JAKUCCM110
4CHAMBIRI WEREMA KISYERICCM004
5HAMAD OTHMAN ASSACUF007
6HASSAN BUKHELI SHAWANACCM003
7ISHENGOMA GABRIEL CHRISTINECCM008
8KAPUYA ATHUMAN JUMACCM001
9KHAMIS ALI KHERICCM000
10KHATIB SEIF MUHAMMADCCM000
11KOMU MAULID VALERIANACHADEMA001
12EDWARD NGOYAI LOWASSACCM001
13SHIBUDA JOHN MAGALECHADEMA008
14ZAKIA MEGHJICCM005
15MUSSA HASSAN MUSSACCM004
16ABDULLA JUMA ABDULLACCM004
17SAID SULEMAN SAIDCUF004
18SAID KASSIM MWANAKHAMISCCM000
19
20
SEIF IDDI ALI
LAMECK AYIRO
CCM
CCM
0
1
0
0
0
2

Asanteni wakuu
 
NIMEIPENDA SANA HII, ILA NAWAPA POLE WADANGANUYIKA WALODANGANYIKA NA KWENDA JUANI WAKAPANGA FOLENI NA KUTUCHAGULIA BALAA LISILOKUWA NA LOLOTE LA MSAADA KWA NCHI HII, MASIKINI POLENI MNAOWAKILISHWA NA HAWA VIBOGOYO WASOKUWA NA UWEZO WA KUCHANGIA LOLOTE, LABDA IQ NDOGO IS ONE OF THEIR PROBLEm
 
Wana JF heshima,
Nimejaribu kupitia wavuti ya bunge letu kutaka kujua mambo kadhaa yanayoendelea bungeni.Lakini nikakutana na profile ya wabunge ambao tangu wachaguliwe bungeni hawajawahi kuuliza swali,wala hata swali la nyongeza na pia hata kutoa michango.Baadhi yao katika hao wameishia kutoa michango kidogo tu.

Nimeamua kuwaletea wabunge hawa muone wenyewe. Katika orodha hii nimewa exclude mawaziri ambao wengi wao na niseme karibia wote hawajachangia.

Kama unayemwona kwenye listi ni mbunge wako una maoni gani kwake?

Wabunge wanaoongoza kukaa kimya bungeni toka 2010 walipochaguliwa
NaJina la MbungeChamaMaswali aliyoulizaNyongeza ya MaswaliMichango aliyotoa
1ABEID ALI BAHATICCM005
2ABDALLAH MARGARETH ANNACCM008
3AYOUB HASHIM JAKUCCM110
4CHAMBIRI WEREMA KISYERICCM004
5HAMAD OTHMAN ASSACUF007
6HASSAN BUKHELI SHAWANACCM003
7ISHENGOMA GABRIEL CHRISTINECCM008
8KAPUYA ATHUMAN JUMACCM001
9KHAMIS ALI KHERICCM000
10KHATIB SEIF MUHAMMADCCM000
11KOMU MAULID VALERIANACHADEMA001
12EDWARD NGOYAI LOWASSACCM001
13SHIBUDA JOHN MAGALECHADEMA008
14ZAKIA MEGHJICCM005
15MUSSA HASSAN MUSSACCM004
16ABDULLA JUMA ABDULLACCM004
17SAID SULEMAN SAIDCUF004
18SAID KASSIM MWANAKHAMISCCM000
19SEIF IDDI ALICCM000

Asanteni wakuu

Mkuu ongeza na hii.

20 Mwanamrisho Abama

21 Raya Ibrahim

22 Naomi Kaihula

23 Christina Lissu

24 Leticia Mageni

25 Conjesta Leos

26 Rose Kamili

27 Highness Kiwia

28 Israel Natse

29 Mustafa Boay

30 Prof Kulikoyela
 
Nmeipenda sana hii bro ila umemsahau huyu wa karatu kwani yeye tokea achaguliwe cjawahi mwona akichangia,
big up sana
 
chadema wawili tu kati ya wote hao, nao hao ni mashushushu wa ccm....sitaki kutaja la dini, kwasababu wakristo hapo wamekuwa wanne tu kati ya 19....kichekesho.
 
Mkuu ongeza na hii.

20 Mwanamrisho Abama

21 Raya Ibrahim

22 Naomi Kaihula

23 Christina Lissu

24 Leticia Mageni

25 Conjesta Leos

26 Rose Kamili

27 Highness Kiwia

28 Israel Natse

29 Mustafa Boay

30 Prof Kulikoyela

Sidhani kama wamefika kiwango nilichoonyesha hapa.Nimepitia wabunge 340 waliopo kwenye orodha ya wavuti hawa ndio wenye michango kiduchu achilia mbali mawaziri.Ningewaleta wale ungemwona Wasira hana swali bali michango michache sana. you are joking.Be serious man/woman
 
chadema wawili tu kati ya wote hao, nao hao ni mashushushu wa ccm....sitaki kutaja la dini, kwasababu wakristo hapo wamekuwa wanne tu kati ya 19....kichekesho.

Mimi si muumini sana wa udini wala ukabila.Rafiki yangu anakuwa yeyote yule ninayekubaliana naye kisera.Umeingiza udini ukizani nimewaonea?Sina hilo.
 
Hawa ni wale waliopitishwa na ccm kwa ajili ya kupiga kura kupitisha sera za ukandamizaji na bajeti isiyo kidhi mahitaji.
 
Nmeipenda sana hii bro ila umemsahau huyu wa karatu kwani yeye tokea achaguliwe cjawahi mwona akichangia,
big up sana

Asante mkuu lakini amini niliowa list hapo ndio wako chini zaidi.Nimepita mwanzo mwisho.Wengi wana michango inayohesabika hasa kuuliza na nyongeza yake.Hawa hawana kitu sana sana michango isiyozidi kumi.
Mchungaji Natse MP Karatu ameuliza maswali 4, maswali ya nyongeza 5, na michango 15
 
Si mumeona niwalewale mabingwa wa kulalamika, wamepewa nafasi hawaitumii ipasavyo sa subiri wanyimwe ubunge utasikia ooooh si wakanda yao, ama oooh situliwaambia hawa ni wadini? oh! wanawaonea 2 coz si wenzao!
 
we "ritz" ni dhaifu sana. Hii list haijatungwa, ipo kwenye wavuti ya bunge la JMT. We hiyo ya kwako uliyoongeza umeitoa wapi??? Tatizo la kushabikia CCM ndo hili, unakurupuka tu. Ndo maana mnaita "dhaifu" ni tusi!! Read btw line, upate kuelewa.
 
Hivi mkuu Narubongo yule mbunge wa Rorya Mh. Ayiro amewahi kunena ama kuandika chochote akiwa ndani ya Bunge lao Tukufu?
 
Last edited by a moderator:
kuna wengine hawachangii bungeni lakini wanafanya kazi kwenye majimbo yao mfano lowasa..huyu yeye hapigi porojo bungeni kwa sababu ana ajenda zake zingine lakini ni mchapa kazi kwenye jimbo lake. Hamna haja ya kua unauliza maswali kila kukicha lakini hakuna maendeleo kwenye jimbo lako
 
Hivi mkuu Narubongo yule mbunge wa Rorya Mh. Ayiro amewahi kunena ama kuandika chochote akiwa ndani ya Bunge lao Tukufu?

Mkuu mchango wa Lameck Ayiro mbunge wa Rorya ni huu,ameuliza swali 1, swali la nyongeza 0, michango 2.
Namwongeza kwenye listi mkuu umesema kweli.
 
kuna wengine hawachangii bungeni lakini wanafanya kazi kwenye majimbo yao mfano lowasa..huyu yeye hapigi porojo bungeni kwa sababu ana ajenda zake zingine lakini ni mchapa kazi kwenye jimbo lake. Hamna haja ya kua unauliza maswali kila kukicha lakini hakuna maendeleo kwenye jimbo lako

Inaonekana hujui kazi ya Mbunge ni nini na ndomana Mnahongwa tisheti na chumvi...Wananchi wa Monduli ni masikini wakutupwa huku wakikabiliwa na tatizo kubwa la maji afu hatumsikii mbunge wao akiwasemea matatizo yao Bungeni we unatuambia anafanya kazi jimboni,Wananchi wanalipa kodi serikalini ili hiyo kodi iwahudumie na sio kusubiri fadhila ya ela chafu za mbunge.
 
Back
Top Bottom