MPs Kigwangalla, Gekul Vs Waziri Mwinyi juu ya MGOMO WA MADAKTARI ndani ya Tuongee Asubui ya Star TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MPs Kigwangalla, Gekul Vs Waziri Mwinyi juu ya MGOMO WA MADAKTARI ndani ya Tuongee Asubui ya Star TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zulqarnayn, Jun 25, 2012.

 1. Z

  Zulqarnayn Senior Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kesho asubuhi kuanzia saa moja kamili asubuhi wabunge wawili wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma za jamii, mh Dkt Hamis Kigwangalla (CCM) na Mh Dkt Hussein Ali Mwinyi ambaye ni mb na waziri wa afya kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania watakuwa kwenye kipindi cha tuongee asubuhi kinachorushwa na kituo cha Star TV kutokea bungeni dodoma wakijadili sakata la mgomo wa madaktari. kila jumanne, star TV hurusha topic inayohusiana na mambo ya afya ya jamii. kipindi hiki huwa ni laivu na hivyo watazamaji mnaweza kuuliza maswali na kutoa michango yenu moja kwa moja
   
 2. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mwnyi hana jipya ni dhaifu kama baba yake
   
 3. HKigwangalla

  HKigwangalla Verified User

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe imara uliwahi kufanya nini kwa nchi hii? Mwinyi aliwahi kuwa Rais, wewe umewahi kuwa nani? Acheni kejeli na matusi kwa wazee kama Mwinyi jamani...hivi hamuwezi kuongea na kujenga hoja zenu hata kama ni za kupinga bila kutoa matusi kwa viongozi? Usomi unafundisha uvumilivu na ustaarabu kwenye mawazo yaliyo kinyume na yako, unless kama hajuenda shule labda nitakuelewa hapo! Lakini kama unafanya maksudi basi haipendezi
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  I think you have a point doc, tunapaswa kwenda kwa hoja wala si vionjo!!!!!!!
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  wewe umeifanyia nini nchi hii
   
 6. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,972
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu, unapaswa kumwomba radhi mzee Mwinyi maana umemtumbukiza tu kwenye hii thread wakati yeye wala hahusiki. Anayezungumzwa hapa Husein Mwinyi, siyo mzee Mwinyi. Kama ungetaka kutueleza juu ya udhaifu wa mzee mwinyi basi ungeleta thread yako ukielezea kwa ufasaha jinsi unavyouona udhaifu wake na wanajamvi wangechangia kwa mtazamo huo. Zungumza habari ya Mwinyi aliyetajwa, siyo yeyote tu anayekuja kichwani.
   
 7. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Kwani unamjua hadi umuulize ivo? its possible anaifanyia nchi mambo ya maana ila wanasiasa ndo mnatuangusha sana sana, inaudhi sana kwa kweli, Ww tunayekujua umeifanyia nn nchi?
   
 8. B

  Bob G JF Bronze Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tukupata mkuu
   
 9. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We ni dhaifu
   
 10. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Ni kweli utawala wa baba yake ulikua dhaifu,hata yeye ni dhaifu. Sifa nzuri ya mzee Mwinyi ni uungwana na ustaarabu wake!
   
 11. B

  Bob G JF Bronze Member

  #11
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naamini mjadala utakua mzuri coz wote ni Madaktari mnaijua fani labda muingize porojo za kisiasa mtaharibu kipindi, Lingine Mnajua wananchi nini wanachotaka wasikie toka kwenu, wengine wanazungumza as if wanaishi sayari nyingine na watanzania, ndo maana wanadharaulika na hawataki kuwasikiliza
   
 12. Wachovu

  Wachovu JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 1,197
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Kwani Dr Hamisi si ni wale wale CCM wanaotafuna bila kukumbuka mamilioni walio na utapia mlo. kuingia mjengoni unadhani ana cha zaidi ni kulaumu kwa nguvu zake zote na kuunga mkono kwa 500%. Unajua DR . kwa nini tunawalahumu watawala wetu ni kwamba hawa watu tunawahudumia kwa asilimia 100 lakini bado ni walafi .
   
 13. p

  politiki JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  offcourse they are both weak like dad like son, wewe unafikiri kwanini baba yake aliitwa mzee ruksa kwa sababu ya udhaifu wake kwani wizi serikalini ulikuwa ruksa kumbuka watu waliokamtwa wakiiba walikwenda kumuangukia na kupewa payment plan kama anavyofanya jk ktk issue ya EPA. Mwinyi aliwatoa wafungwa jela kisa mama yake alininilia sana kwahiyo nikaamua kumtoa bila kuzingatia vigezo maalum vya ku grant pardoon. mwanae kazi imekuwa ni kubadilishwa wizara kila kukicha hakuna tangible things alivyovifanya kote anakopita kama unavyo naomba kuvisikia. alichozungumza udhaifu wao including jk ni sahihi na siyo matusi ni ukweli wa mambo.
   
 14. N

  NANKY Member

  #14
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  leader 's ability to lead determines his level of effectiveness.Among the leaders who contributed to sufferance of Tanzanians mzee mwinyi is among this is due to lower ability to lead therefore he was a:dance: weak president and this is indisputable fact.Don say we umefanya nin some are not given opportunity to lead but have higher leading ability.Hkigwangala u have lower ability to lead thus y u tell people to shut up speaking the thruth,mwinyi was weak and his son is weak too
   
 15. T

  Talklicious Member

  #15
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona chini umesign elimu yako, sina uhakika ulisomea wapi MD yako au MPH ila naomba ukiwa na huyo waziri wako hiyo kesho mwambie afute kauli ya kuwa wanaafunzi wate wa MD wanapata grant ya serikali.......ataje chuo kimoja ambacho serikali inafanya hivyo na ktk vyuo binafsi huwa inalipia wanafunzi wangapi. Nasikitika kuwa waziri amekuwa irresponsible kiasi hicho na kupotosha umma kwa kusikiliza maneno ya vijiweni bila kuhakikisha, kwanini ukubali madaraka ilihali hata hamjui mnapopaomgoza wala hutaki kujifunza? Imagine kwasasa kwa wazazi ambao wamemuamini huyu waziri mahusiano yao na watoto wao yapoje? Atoe tofauti ya chou cha udaktari cha serikali na vyuo vya binafsi. Pia tofauti ya grant na mkopo, ambayo vyote katika vyuo vya binafsi havitoshelezi na wazazi wa wanafunzi hao wamekuwa wakichangia (top up).
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kigwagallah tena ahaaaaaaaaa!!!!!!!! Huyu jamaa bado anauwaza uwaziri ? Au bado anamtafuta Ghasia this time atacharazwa kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kigwagallah kwa kujikomba kiboko!!!!!! au kwavile ubunge wake ni wa kuteuliwa!! Kwani mbunge wetu tuliemchagua ni bashe ha! Ha! Ha! Lemutuz
   
 18. T

  Talklicious Member

  #18
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let me tell you being a president or member of parliament doesn't mean you have done something in a country by your title.

  What we citizen measures are responsibility and accountability. Sasa nakushangaa mh unamuuliza mtoa mada cheo, unadhani cheo chake kitasaidia kuendesha nchi? Au wewe umefanya nini katika cheo chako kusukuma nchi, ungemuuliza katika kada yake anafanya nini kuisaidia nchi kimaendeleo ningekuona mstaarabu kama unavyohitaji watu wawe na sio personal attack kwa irrelevant issues.

  Hujawahi kujiuliza ni kwanini uliacha kuingia wodini ukaenda kwenye political medicine na mwisho kubadili kabisa taswira au kwanini uliingia MD at first place ukapoteza miaka 5 kama lengo lilikuwa kuwa na MBA?

  Kuna Prof mmoja aliwahi kusema, "usione watu wanakimbia kutibu wagonjwa na kuenda kwenye political medicine ambayo hata ukimpa diwani mwongozo anaweza kuact, ni vile tu hajiamini katika kutoa huduma na hawezi kujenga rapport na wagonjwa ili hata akianzisha hosp yake au akienda kuomba kazi ya part time aweze kuwavuna"
   
 19. c

  chama JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,006
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Badala ya kwenda Star Tv kuongea politics naona ingekuwa ni uzalendo zaidi mkaenda Muhimbili kusaidia kutoa huduma please lets talk the politics when the crisis is over; we all know what need to be done to restore our health care system; politicians are the one who put this country in this situation; both of you are part of the problem but at least shows that you care.

  Chama
  Gongo la Mboto DSM
   
 20. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  mpe nafasi alafu ndio useme umefanya nini nchi hii?nawewe dhaifu kabisa,,mwinyi wa mabomu leo hadi kwenye afya unafikiri atafanya nini kipya?kalale huko!wakati wa baba yake watumishi walikosa mishahara hadi miezi 2 bila kulipwan alafu akamwandaa kikwete leo tunayaona maisha yalivyo kuwa machungu,kama unanufaika na mfumo kaa kimya acha wavuja jasho tupiganie haki zetu,gamba mkubwa wewe!
   
Loading...