Hapana, hapana, hapana! Tulipofikia ni hatari... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapana, hapana, hapana! Tulipofikia ni hatari...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWananyati, Jun 27, 2012.

 1. M

  MWananyati Senior Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  1. huku madaktari wamegoma
  2. huku daktari kiongozi anatekwa na kuteswa vibaya kiasi cha kutaka kutolewa roho
  3. huku waziri mkuu anasema liwalo na liwe kwa huu mgomo wa madaktari
  4. huku spika anaruhusu mbunge kusema 'kama wapo wenye uchungu na nchi, waende wakazae'

  Tunapelekwa wapi na serikali hii?
  Rais Kikwete tulijua kuwa utakua mlinzi wetu pindi uingiapo madarakani
  Umegeuka uchungu kwa kizazi cha Watanzania
  Unashindwa hata kupanua mdomo na kusema 'sitaki hiki'
  Unashindwa hata kutumia madaraka yako kusema 'polisi sasa mmezidi'
  Unaishia kuwatisha wabunge wa CCM kuwa wasipounga mkono bajeti utalivunja bunge kila mtu afe kivyake
  Ulisema utasimamia demokrasia na utawala wa sheria. yapo wapi hayo?
  ulisema wewe ni tegemeo la watanzania - sijui ni watanzania gani hao wanaokutegemea

  Tuache, tuendelee kufa, ila Yupo Yule atendae haki, sie ambaye Twamtumaini. Ataishikisha adabu hii serikali

  Amemlinda dr Ulimboka ili udhalim wa serikali yako uonekane waziwazi


  ndio, atatusimamia yeye.

  Your days are numbered
  Pinda
  JK and Co
  Soon, not very far
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Hii ni Serikali legelege inayoongozwa na rais dhaifu.
   
Loading...