This is what we say......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is what we say.........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by farryandy, Jun 27, 2012.

 1. farryandy

  farryandy Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kwanini sisi watanzania ni waoga namna hiyo,nimetangaza azma ya kufanya mabadiliko tunahitaji wabunge vijana kwa mkoa wa iringa eti watu wanaogopa ni lini tutakuwa weledi wa malengo yetu na hisia zetu?

  Ni nani atatukomboa kutoka katika umasikini wa fikira tulionao?nani atapata uchungu wa kweli na uzalendo kama sio sisi watoa jasho tuwanufaishae wajanja wajinga wachache wanaodhulumu na kutokomeza haki na mali zetu?ni kwanini tusisitiishe huduma dhalimu za hawa watu?

  Natumai hali halisi inaonekana kwetu sisi watoto wa wakulima (walalahoi). Tujifunge mikanda tuiweke nchi yetu pahala stahiki,tujenge uchumi wetu,tukuze demokrasia halisi si ya unyang'anyi na upendeleo,tuijenge tanzania yenye mafanikio na muelekeo.asanteni kama nimeleweka.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade kwanza mageuzi makubwa ya Fikra yanahitajika kule maeneo yote ya Kitanzini,Mshindo,na miyomboni baada ukomboz huo wa fikra kwa maeneo hayo ndipo sasa haya maoni yako yatapata mashiko binafsi nimekuelewa sana lakini tatizo lipo kwenye hiyo kitaa niliyokutajia na kama wewe ni mwenyeji kidogo iringa basi wajua ni kwa nini maeneo hayo yanahitaji ukombozi wa fikra zao
   
 3. D

  Davie Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tanzania itkombolewa na watu wa mikoani..na kwa kuanzia ni Iringa...Filikunjombe na Msigwa..wengine woga kibao..
  wanauma na kupulizia..
   
Loading...