Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"My friends are it realistic for the government to have more than 50 members of cabinet when the giant country that gives us aids have lesser than that? Look here USA currently has 15, Japan...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi? Kwanini sehemu nyingi zenye Waislamu wengi hazikuendelezwa kwa miaka mingi? (Hii ni tokea ukoloni) Jadili.
5 Reactions
167 Replies
12K Views
Akiongea na clouds FM Membe anawapaka CDM akianzia na Slaa hatimae G. Lema
0 Reactions
89 Replies
7K Views
Anaweza kiongozi huyu mkumbatiaji mkubwa wa magamba kutamka hivyo? Manake tayari kisha ingilia masuala mengine kama vile ya sensa nk. tunataka alaani masuala ya tija zaidi kwa mustakabali wa...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Mbunge wa Mkanyageni Mohamed Mnyaa (CUF)amemtuhumu Waziri mkuu kuwa ofisiyake ndiyo kikwazo katika swala la muungano, ametoa rai kuwa fedha za EPA zigawanywe sawa Zanzibari. Amemkumbusha pia ahadi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nape ameingia Mbeya mchana huu, hakika nimeshangaa vijana wengi wa vyuo wamempokea na kwenda naye ukumbini ambako nako tumekuta watu wengi ajabu waliotambulishwa kama wanafunzi wa vyuo vya Elimu...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
Nashukuru na nimeliona limeandikwa pia kwenye blog ya michuzi. Tuacheni utani na masihara mji wa Arusha kwa sasa una hali mbaya sana. Hali ya mji wa Arusha kiuchumi kwa sasa sio maridhawa kabisa...
1 Reactions
80 Replies
7K Views
Hawa wakuu wa mikoa bungeni wiki nzima wanafanya nini!!, hawana kazi za kufanya!!. Haya sio matumizi mabaya ya pesa na muda kwa umma!!. Mheshimiwa wenje alilipua hili leo bungeni na alinikuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF Leo Mahakama inatarajia kutoa hukumu nyingine kesi ya Rajab Maranda na Farijala Husein kuhusu wizi wa shilingi karibu bilioni 2 za EPA. Wenye uwezo wa kupata updates twaomba mtupatie hapa
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Asubuhi ya leo maiti 43 zimetelekezwa ktk kijiji cha Chitego mkoani Dodoma, na wengine 27 hali zao mbaya. Dereva alokuwa akiwasafiri amewatelekeza baada ya kuona wanazidi kufa kabla ya kuwafikisha...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Ahoji wakuu wa mikoa yote kwenda Dodoma kufanya nini wakati kuna tv? Kasema nchi hii wanakula nchi leo kesho tunakuwa ombaomba kwa nchi ambazo cabinet zao hazizidi wajumbe 25 sie tuna baraza la...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Salamu wanajamvi naomba kuelimishwa, kiutendaji/kikatiba inaruhusiwa Mkuu wa Wilaya kugombea uongozi wa Chama cha Michezo? Nauliza kwa maana nimesoma sehemu DC wa Mvomero Antony Mtaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Peter Slaa amealikwa kuwa mmoja wa wanajopo (panelists) wanne, kutoka Mabara ya Afrika, Asia, Amerika...
13 Reactions
130 Replies
9K Views
Kama ndege ya kijeshi ya uturuki imeangushwa kwa kuingia ktk anga la syria bila taarifa.Je iliwezekanaje kwa ndege ya kijeshi ya oman kuingia na kutoka salama na nyara za Taifa letu.Au ndo kusema...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Nina zaidi ya miezi sita toka nilipie nguzo mbili kwa zaidi ya milioni mbili na nusu na umeme bado haukufungwa wala nguzo kuwekwa.sasa swali langu ni je nimeibiwa au ni halali kulipia nguzo pindi...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Ndg zangu, nataraji kupata fursa ya kuhutubia bungeni kwenye bajeti ya ofisi ya waziri mkuu iliyowasilishwa leo, hapa tutapata fursa ya kusema lolote la kisera na hata la kijimbo, kama...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
Ni wabunge wachache sana kama wewe mh mbunge ELIMU itolewe TAMISEMI ELIMU inauwawa huko iliko, elimu is no more under 17, iacheni ina mambo mengi
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Wanakijiji cha Kigarama kata ya Kanyigo wilaya ya Missenyi mkoa wa Kagera Bw. Ijumba ni mtu ambaye anawakatisha wananchi waliomchagua kwa kuwa na vituko vingi vya ajabu kiasi cha kukatisha tamaa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, E.Wenje(MB.Nyamagana)akichangia hotuba ya bajeti ya Waziri Mkuu ameongelea namna aanavyokerwa na hili suala la Wakuu wa Mikoa wakati huu wa kujadili bajeti ya Waziri Mkuu kuwepo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom