Mwenzako akinyolewa na wewe tia maji. Wahenga hawakukosea. Mkoba wewe kiongozi wa mgomo wa walimu, uko tayari yakukute kama ya mpendwa wetu Ulimboka? Mgaya wa TUCTA upo? Mtakuwa tayari kutetea...
It is very easy for coup detat plotters to topple the regime in question while the president is away because it can be less bloody.It is just the matter of warning her/him not dare come back.Best...
CCM imekuwa chama changu maisha yangu yote. Baada ya ukatili alofanyiwa Dr. Ulimboka, wizi wa rasilimali zetu hasa mabillioni kufichwa Uswisi, raia wanaodai haki wanafanyiwa ukatili ilhali...
Kila mwenye uchungu na Tanzania analaani kitendo cha kijinga na kihuni alichofanyiwa dk Steven Ulimboka mwenyekiti wa Jumuia ya Madaktari. Hivi watanzania wataendelea kutumiwa na kila atakaye...
Wana Jf nimepata habari mbaya kuwa wahudumu wa vyumba vya maiti hospitali zote za Dar wametangaza mgomo wa kutopokea wala kuhudumia maiti yoyote hata kama mtu kafia hapohapo hospitali husika mpaka...
Kasema Maghembe kajiundia bodi ya kahawa ya nchi nzima yenye wanakilimanjao tupu, kaenda Mbeya wananchi wakagomea kanuni za manunuzi ya kahawa mbichi still akaja Dar fasta na kusaini kanuni...
Natoa wito kwa wabunge wenye uchungu na taifa hili, kuomba mwongozo wa spika wa kusitisha shughuli za kawaida za bunge ili kujadili mgomo wa madaktari. Hii ni njia muafaka ya kujaribu kutatua...
Kiwia amemtaja live bungeni kuwa anahusika kwani siku ya tukio gari la mh. Hewa lake lilikuwepo eneo la tukio, na ameahidi kuwasilisha ushahidi na majina ya washukiwa wengine
kutokana na habari tunazozipata inaonekana kwa namna moja au nyingine serikali imehusika na tukio hili.... walikuwa wanajua wameshamuua kumbe mzima kwa hiyo napendekeza huyo dr apelekwe kutibiwa...
Nilikuwa natafakari kama hapa Arusha kumewezekana kukaa bila ya kuwa na mbunge wala madiwani kwa baadhi ya kata na maisha yanaendelea basi siasa haina maana.
kama kuna umuhimu wa kuwa na...
Unajua kuna wakati mtu unajiuliza juu ya uwezo wa kufikiri wa baadhi ya hawa waheshiwa wetu Wabunge. Mfano ni huyu Mbunge wa Kitope upande wa Visiwani, Makame Mshimba Mbarouk (CCM), ambaye amedai...
Natoa ushauri huu kwa rais na waziri mkuu pinda juu ya migomo nchini, ubabe na kujivunia madaraka hakutasaidia kuleta utulivu nchini kinachotakiwa ni kukaa chini kutafakari nini cha kufanya. Ni...
Nanuku maneno haya
" Wasira ili kusahihisha makosa aliyofanya akiwa nje ya CCM, amekua anabwatuka, anapiga vijembe, anapakazia watu na kujijengea uzio wa miba. Hata hivyo, uzio unataka kugeuka...
KWA wote wenye uchungu, nenda mkajifungue,
Mbunge katupa uvungu, hili tukalitambue,
Wao hawana uchungu, acheni watu waliwe,
Wenye uchungu na nchi, tokeni mjifungue !
Wagoma madaktari...
27th June 2012
Salehe Nassor Juma (CUF)
A hot debate ensued yesterday in the House of Representatives over Zanzibar's benefits in the Union government while some speakers openly declaring...
Wana JF ninaomba mnijuze majukumu ya waziri Lukuvi siyafahamu. Mara nyingi namwona ni mtu wa kuomba mwongozo na kutoa taarifa bungeni. Wadhifa huo una tija yoyote kwa maendeleo ya nchi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.