Moses Machali vs Said Mtanda LIVE ON JAMBO TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moses Machali vs Said Mtanda LIVE ON JAMBO TANZANIA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Jun 27, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Ni mjadala mkali karibu tutazame, ila MACHALI yuko good zaidi.
   
 2. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Bilioni tano katika ofisi ya waziri mkuu ipo kama posho.
   
 3. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ah wapi, niliwaangalia leo asubuhi, chalii Moses alizidiwa ile mbaya. Ingekuwa ni ngumi, Mtanda angekua amemknock out katika round ya tatu.
   
 4. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lazima ulivaa miwani ya Kijani na masiko yalikuwa yamezibwa na jembe na Nyundo!
   
 5. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  TBC ilitumia ukibaraka wake kumnyamazisha dogo Moses. Marin Hassan alikuwa anashirikiana kwa karibu sana kumnyamazisha Moses kwa kupinga hoja zake na kuonekana kumkubalia kila kitu azungumzacho Mtanda (tena kwa kuitikia kwa kichwa kuonyesha kuafiki hoja zake - upendeleo wa wazi kabisa.
  Maneno ya Mtanda ni yale yale ya kujipendekeza na kusifia CCM 'tutashirikiana na serikali ya ccm kuleta maendeleo kusini' Hakutaja kabisa mapungufu ya bajeti ya ofisi waziri mkuu. In maana ipo perfect kiasi hicho?
   
 6. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  ahsante kwa uchambuzi nimependa, huo ndo ukweli.
   
Loading...