Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika maelezo ya Dr nchimbi waziri wa ulinzi,alisema Wale watekaji wa 5 walipofika kwenye Pub wakawakuta dr uli na wenzake wakampga KIBAO Wakati wakihamaki wakamchukua haraka DR Uli na kumwngza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya vurugu za kuchoma makanisa kule Zanzibar, watu wengi wamekuwa wakiniomba niandike kitu juu ya matukio hayo. Jibu langu ni kwamba tumeandika mengi juu ya hatari ya kutanguliza udini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maelekezo waliyopewa ni kumuua DR Ulimboka, Lakini wametumia uzalendo wa hali ya juu kwa kujifool kwamba walijua wamemmaliza DR na kumtupa maporini. Hata wao wanapigania makombo kama sisi...
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Jana usiku mwenyekiti wa jukwaa la katiba la waislamu sheikh mohamed issa alieleza baadhi ya vipaumbele ambavyo waislamu watazingatia kama maoni yao kwa kamati ya katiba inayoongozwa na jaji...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Uongozi wa kamati maalum ya kudai haki na maslahi ya walimu kupitia CWT- Chipolopolo; kwa huzuni kabisa tunapenda kuutanfazia Umma kuwa tarehe 01/07/2012 siku ya Jumatatu Walimu wote wa shule za...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Jikumbushe baadhi ya kauli nzito za viongozi wa nchi hii na utafakari aina ya viongozi wako. 1. "Ndege ya Rais lazima inunuliwe hata kama wananchi watakula nyasi"..... Mh. Basil Mramba akiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yalompata Dr.Ulimboka ni mambo ya huzuni kwa Watanzania wote bila kujali utofauti wa itikadi za kisiasa,kidini na tofauti za kijamii...hili ni jambo la watu wote bila ya kubagua.Ninasikitika sana...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mnakumbuka kauli ya Pinda kwa waliokuwa CPL -MNH siku hiyo.? . . .nanukuu. . Ulimboka: Tunaomba kusiwe na victimization ya aina yoyote. . Pinda: Hakutakuwa na victimization lakini mkikuta...
6 Reactions
119 Replies
11K Views
Nimemwona Kova akibwabwaja ktk Chanel10 usiku huu, akisema polisi wamejipanga na kuunda timu ya kitaalamu kufanya uchunguzi wa kina kuhusu kupigwa kwa Dr Ulimboka. masikini Kova, hajui...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama kuna janga kubwa lenye matokeo dhahiri na ya moja kwa moja kwa uhai wa taifa ni janga lililoko kwenye elimu. Janga hili ninaamini linatokana na kushindwa kwa sera mbovu za chama tawala; sera...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Nawapa pole watanzania kwa kuwa na serikali dhaifu iliyo madarakani kwa ridhaa ya baadhi yenu.Jeo mtaona kilichopangwa na serikali juu ya mgomo wa madaktari tangu jana itakuwa matapishi na uharo...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Mimi nitaendalea kushangaa iwapo ikuondoa wanasheria waliopo tanganyika wasomi wa kada nyengine wanashindwa kusema na kuelezea angalau paragraf moja juu ya muungano. Hayo sio mageni kwasababu...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Ni pale aliposema bungeni kwamba, viongozi wakitaka kujua hali halisi ya maisha ya Watanzania basi wapite na helikopta wataona kwa karibu, kwa mfano kuna watu mpaka leo hii wanaishi maporini...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani wadau kwa jinsi hali ilivyo kama wao wamekataa kutupa huduma na sisi tuwasusie kuwapa huduma kama wao wanavyofanya kwa jamii. Wahasibu wasiwalipe mshahara yao na hata huduma nyingine pia...
1 Reactions
68 Replies
6K Views
LITAKALO KUWA NA LIWE.....hii ndio kauli ya serikali juu ya mgomo wa madaktari, nauliza jee Serikali ina mkono wake juu ya kutekwa huyo daktari? mana mm sielewi na sioni mantiki ya yule shushushu...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Mnyika: Kikwete ni dhaifu, serikali ni dhaifu. Bajeti vurugu tupu Mgomo wa Madaktari Jaribio la Kumwua kiongozi wa Madaktari - Ulimboka Mabilioni ya fedha yanayomilikiwa na vigogo serikalini...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Kwa hapa tulipofikishwa na serikali zetu ni sehemu ambayo sisi wananchi kama wananchi tukae chini na kujiuliza ,tunasubiri nani atuondolee tatizo hili , la watu kutekwa kupigwa na kuumizwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndivyo historia ya aibu kubwa itakavyowekwa leo pale serikali ya JK itakapowafukuza madaktari wote wanaogoma wakidai hak na stahili zao huku serikali ikishindwa kuwalipa kutokana na ufisadi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati chama cha ukombozi CDM kikiendele kutoa elimu ya uraia ili kuwatoa utumwani watanzania natoa ushauri kwa kijana Bw Julius Mtatilo asome alama za nyakati. Kama magamba wasema ccm sio baba...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Udhaifu ni kitu kibaya sana, udhaifu ndani ya nyumaba huzaa nyumba legelege na yenye wasiwasi!!! mahesabu ya kukatisha maisha ya kiongozi wa madaktari nchini ni moja ya udhaifu wa serikali yetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom