Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shykwanza, Jun 27, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uongozi wa kamati maalum ya kudai haki na maslahi ya walimu kupitia CWT- Chipolopolo; kwa huzuni kabisa tunapenda kuutanfazia Umma kuwa tarehe 01/07/2012 siku ya Jumatatu Walimu wote wa shule za sekondari na shule za Msingi wanakwenda kuanza mgomo wa siku tano kuishinikiza Serikali kuongeza mishahara ya Walimu kuendena na gharama za maisha na inflation. ( Katika mgomo huu walimu wote mnapaswa kushiriki pasipo uoga wowote kwani kwa pamoja tunaweza)

  Maombi maalum
  1. Tunawaomba wanafunzi wote wa sekondari na msingi wa tuunge mkono kwa siku tano hizo
  2. Wazazi wote na wadau wa elimu tunaomba mtuunge mkono katika mgomo wetu ili kuboresha elimu ya watoto wetu
  3. Likizo za wanafunzi zitanza kati ya tarehe 7 au 9 Julai hivyo huataathiri mgomo huu
  4. Mgomo usio na kikomo kama serikali dhaifu itaendelea kuwa jeuri utafanyika tarehe 16/08/2012 kama ulivyopangwa lakini huu wa tarehe 1/7/2012 ni Pre mgomo kabla shule hazijafungwa na wanafunzi hawajamaliza mitihani na kupata matokeo yao


  Walimu tunawajibu wakuitoa ujinga serikali kwa kushiriki mgomo huu pamoja twaweza

  Upadate
  1.kama Mgomo hautafanikiwa Walimu wote hawatashiriki kutoa na kusahisha mitihani ya nusu muhula ya kwanza
  2.Walimu wote kutoshiriki zoezi la sensa ya Watu na Makazi kama wakusanya takwimu
   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Mbona taarifa yenyewe ina makosa ya kiuhariri?

  Plz be serious.
   
 3. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,716
  Likes Received: 12,767
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona ni siku tano tu! Acheni uoga bhana!

  Semeni mtaanza mgomo usio na kikomo.

  Siku tano mambo yenu yasipo sikilizwa mtarudi darasani?
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,716
  Likes Received: 12,767
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona ni siku tano tu! Acheni uoga bhana!

  Semeni mtaanza mgomo usio na kikomo.

  Kumbe mnagoma kwa siku tano tu:

  Siku tano mambo yenu yasipo sikilizwa mtarudi darasani?
   
 5. S

  Sessy Senior Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  source please
   
 6. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ya kweli haya
   
 7. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mgomo wa siku tano ni mgomo w a aina gani?upumbavu wa cwt toeni hapa
   
 8. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Waigizaji hawa kaka
   
 9. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Tarehe 1/07 shule nyingine zitakuwa bado zimefungwa likizo fupi, sasa ndo inakuwaje?
   
 10. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Pamoja
   
 11. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Jamani shule zinafunguliwa tarehe 9
   
 12. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  huna lolote **** wewe sema mgomo hauna kikomo mpaka kieleweke
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  walimu wa ccm wakigoma nitakuwa "Verified User"
   
 14. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  CWT hacheni kuchezea akili za watanzania! Mgomo siyo ngoma ya kitoto!
  hizo tarehee zenu shule nyingi za secondary zitakuwa likizo!
  CWT inawahadaa waalimu! hamna kitu hapo..teeeeeeeeeeeeeeh!

   
 15. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Halafu muda huu wanafunzi hawapo rikizo kweli?
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,641
  Trophy Points: 280
  Bahati mbaya sana bajeti mama imepitishwa
   
 17. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  shule zimefungwa
   
 18. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbona hizo tarehe za mgomo ni za likizo mpaka tarehe 10.7
   
 19. s

  shykwanza Senior Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgomo utahusisha pia kutokusahisha mitihani ya wanafunzi na kutoa matokeo ya muhula wa kwanza
   
 20. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  acha upuuzi shule zimefungwa. Kufunguliwa ni tar 9/7.
   
Loading...