Ukitaka kujua hatuna serikali subiria kauli ya mipango ya serikali juu ya liwalo na liwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kujua hatuna serikali subiria kauli ya mipango ya serikali juu ya liwalo na liwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayoscissors, Jun 28, 2012.

 1. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nawapa pole watanzania kwa kuwa na serikali dhaifu iliyo madarakani kwa ridhaa ya baadhi yenu.Jeo mtaona kilichopangwa na serikali juu ya mgomo wa madaktari tangu jana itakuwa matapishi na uharo ambao hata wale wanaookota uchafu na kula jalalani hawawezi kutoa...subiri ndo uje uniambie jinsi tusivyokuwa na serikali
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  wanachi wamekata tamaa na serikali imekata tamaaaa...
  USHAWAHI KUINGIA DARASANI UKAKUTA MWALIMU ANASINZIA UBAONI NA WANAFUNZI NAO WANASINZIA ?? ndio staili za hii therikari ya THITHIEM
   
Loading...