Polisi mnalifahamu hili? Waliochoma makanisa Unguja ndiyo hao hao waliompiga Dr Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi mnalifahamu hili? Waliochoma makanisa Unguja ndiyo hao hao waliompiga Dr Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 27, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimemwona Kova akibwabwaja ktk Chanel10 usiku huu, akisema polisi wamejipanga na kuunda timu ya kitaalamu kufanya uchunguzi wa kina kuhusu kupigwa kwa Dr Ulimboka.

  masikini Kova, hajui anachokisema. Polisi wake, au polisi wowote wa TZ hawawezi kuchunguza kwa ufanisi matukio kama haya ambayo yana kila dalili ya kuwepo mkono wa serikali. Atajikuta anapigana na ukuta tu. Kauli yake hiyo ni stahili kwa wadanganyika, ingawa iko siku........!

  Iwapo polisi wa TZ wameshindwa kuwabaini 'wahuni' waliochoma makanisa huko Unguja ambako ni eneo dogo tu la watu wachache, vipi hapa Dsm ambako population yake ni mara kumi zaidi ya ile ya Unguja.

  Polisi msitake kutuchekesha -- waliochoma makanisa huko Unguja ndiyo hao hao waliompga Dr Ulimboka. nadhani nimeeleweka nasema nini hapa.
   
 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania msilalamike mliyataka wenyewe! Hiyo serikali mnayoilalamikia haikuingia msituni na kutwaa madaraka! Ni ninyi wenyewe kwa ushabiki wenu wa Yanga na Simba katika siasa mlipiga kura kama vipofu. Tulieni mkamuliwe vizuri hadi hapo mtakapopata mang'amuzi mwaka 2015.
   
 3. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  janjaweed ya ccm hiyo...
   
 4. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekusoma mkuu..
  u mean that "hawata wakamata kama walivyoshindwa kuwakamata wa unguja"
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kova na genge lake kwa amri ya mzee wa meeee ndo wahusika wakuu
   
 6. New Nytemare

  New Nytemare JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 1,789
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  hapana means hata walochoma makanisa wanafaamika ila wanaogopwa
   
 7. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kaka ndiyo nakiri tuliwachagua 2005, ila baada ya kuona madudu yao, 2010, tukawapinga, ila kwa kuwa walikuwa wanagombea kiti walichokikalia.... wakachakachua wakagoma kuinuka japo hawakushinda.
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Pia Kova aliomba wenye taarifa zozote kuhusu tukio awasilishe kwa polisi. mimi nawashauri wenye taarifa za tukio wasizipeleke, kuna hatari wanaweza nao kupotea withou trace.

  Mnakumbuka wakati wa kifo cha Dr Ouko huko Kenya mapema miaka ya 90. Wananchi waliambiwa hivyo hivyo, na waliopeleka taarifa hawakuonekana tena, pamoja na mchunga mbuzi aliyeshuhudia jinsi mwili wa Ouko ulivyoburuzwa kwenye shamba na kuchomwa moto.
   
 9. f

  fumu Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Usalama wa Taifa wanahusika moja kwa moja na matokeo yanayotokea nchini. Wameanza kwa kutia mavi visimani wapate kisingizio eti wapinzani, kuchoma makanisa eti uamsho, kupiga watu na kufany hujuma mbali mbali eti wahuni tu. Mimi nafikiri viongozi wa siri - kali wanajua na kuhusika na yote haya.....
   
 10. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hao usalama wa taifa wakiugua watapelekwa India pia? Na wake zao wakitaka kujifungua je? Watapelekwa Johanesburg?
   
 11. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 649
  Trophy Points: 280
  kazi ya police ni kupelekewa habari siku hizi?
   
 12. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,807
  Likes Received: 2,581
  Trophy Points: 280
  Slavery: a civil relationship whereby one person has absolute power over anothers life,liberty and fortune. To qoute Harriet Tubman/ i freed thousand of slaves, i would have freed thousands more if only they knew they were slave.

  Hadi hapo wa Tanzania watakapo tambua that they are little more than slaves chini ya utawala CCM mabadiliko ya kweli hayapatini.
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wana hospitali yao.
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Hiyo ndo serikali dhaifu bana ipo kama kuku wa kuchora! Haing'ati, haidonoi, haitagi wala haitotoi!
   
 15. Mzee Msemakweli

  Mzee Msemakweli Senior Member

  #15
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kamanda Kova aache kuwadanganya Watanzania. Huwezi kumkamata mtu uliyemtuma kwenda kufanya uharifu. Watu waliompiga Dr. Ulimboka wametumwa na wao wenyewe hivyo wanawajua ni akina nani waliohusika na huo unyama wa kutisha. Kauli ya Mheshimiwa Mizengo Pinda pale Bungeni inadhihirisha ukweli huu. Polisi haohao wameshindwa kuwakamata Wahuni waliochoma Makanisa kule Zanzibar, wataweza kuwakamata hawa wa Tanzania Bara?
   
 16. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni malaika wazuri sana, ila wakitumiwa vibaya wanageuka mashetani! Sasa hivi hawa ni mashetani nchini!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ninajua polisi ina intelijensia kali sana. Hawajashindwa kutambua wachomaji wa Zanzibar. Kadhalika hawashindwi kutambua 'wauaji' wa Dk Ulimboka. Tatizo ni kuwa mengi ya matukio haya yanaihusisha serikali indirectly!
   
 18. m

  mfumo JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Unaushahidi gani? wewe ndio polisi na mahakama?? kama si unafiki tu ulionao.
   
 19. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,323
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Never take some words seriously...this action of torturing Dr. Ulimboka has got public consequences and might have political impact as well. What else do you think the guys will say? I never take them seriously
   
Loading...