Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sangarara, Jun 27, 2012.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Maelekezo waliyopewa ni kumuua DR Ulimboka, Lakini wametumia uzalendo wa hali ya juu kwa kujifool kwamba walijua wamemmaliza DR na kumtupa maporini.

  Hata wao wanapigania makombo kama sisi, wanahitaji pongezi, sababu hata wao kama ambavyo DR anagugumia kwa maumivu na wao wako kwenye wakati mgumu kutoa maelezo ya kushindwa kutimiza wajibu wao.
   
 2. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Hizi propaganda sijui mtaacha lini
   
 3. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,398
  Likes Received: 6,586
  Trophy Points: 280
  Aseee, hao jamaa wako wapi niwape walau bia mbili mbili za kujipongeza
   
 4. franktemu123

  franktemu123 JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 775
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 80
  Kama SINEMA vile kinachofuata sasa ni kutuma salamu za pole kwa Dokta Uli na familia na kumtembelea ili kupata picha ya pamoja pale hospitali zen watajidai kusafirisha akatibiwe Nje ya nchi (INDIA) inafanana na KUBENEA STYLE> Unacheza na Bongo wewe? Watu wameaga kwao halafu dokta Uli unaleta zako zipi.
   
 5. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Ninaamini kuwa hao maaskari nao hawapo salama kwasasa na kweli wanamaumivu kama Dr. Ulimboka, hata mafia wanaroho. Na waliowatuma watakuwa wapo matumbo joto kuwa siri itavuja
   
 6. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  Things Fall Apart!!!
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Exactly:Mission Failed.
   
 8. a

  akelu kungisi Senior Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii Tanzania bhana, askari hao watalindwa na serikali hii ya kibabe, ila adhabu yao kutoka kwa MUNGU itakuwa haina mfano wowote ule! Ni kweli walitaka kumuua lakini cha kushangaza MUNGU kaiokoa roho yake, nawaombea hao askari wenye roho za kinyama wawe hai ili washuhudie USHUHUDA huu mkuu ambao utahitimishwa na mateso makali mno mno mara muda wao wakufa ukifika! Ukweli kuwa kila jambo lina malipo hapahapa duniani! Kisasi ni cha MUNGU, hivyo basi tumuachie yeye!Na kwakuwa MUNGU ameona na akasaza uhai wa Ulimboka kuna ushuhuda mkuu mno! Damu ile iliyomwagika haitaenda bure!
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kiongozi wa madaktari kufanya kikao na watu asiowajua?? au alikuwa anafikiria atapewa mlungula?

  Mimi nina wasiwasi sana na huyu dokta Ulimboka!
   
 10. M

  Mwana_mapinduzi Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijafurahishwa na kwa kitendo cha polisi/usalama wa taifa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya dr. Ulimboka. Natambua kuwa hii ni tabia ya polisi. Wasione wao ni maana sana katika Tanzania hii. Kama ni bunduki na madaktari wanazo. kama ni kuuwa na madaktari wana uwezo wa kuua. Hii tabia ya ukibaraka ambayo wanakurupuka na kuamua kuwaangamiza madaktari, inabidi hatua za makusudi zichukuliwe. Madaktari nanyi mna bunduki, kwa hatua hii ambayo imefikia ya kutoa uhai wenu, inabidi nanyi kujibu mapigo. Polisi wote na vibaraka wao, endapo Dr. Ulimboka atapoteza maisha, waambie wasikanyage hospitali na wakifanya hivyo, basi ni kulipa kisasi kwa sindano ya simu. Unyama unyama tu.
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aiseeeeeeeeeeeee
   
 12. M

  Mwana_mapinduzi Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijafurahishwa na kwa kitendo cha polisi/usalama wa taifa kumpiga hadi kumjeruhi vibaya dr. Ulimboka. Natambua kuwa hii ni tabia ya polisi. Wasione wao ni maana sana katika Tanzania hii. Kama ni bunduki na madaktari wanazo. kama ni kuuwa na madaktari wana uwezo wa kuua. Hii tabia ya ukibaraka ambayo wanakurupuka na kuamua kuwaangamiza madaktari, inabidi hatua za makusudi zichukuliwe. Madaktari nanyi mna bunduki, kwa hatua hii ambayo imefikia ya kutoa uhai wenu, inabidi nanyi kujibu mapigo. Polisi wote na vibaraka wao, endapo Dr. Ulimboka atapoteza maisha, waambie wasikanyage hospitali na wakifanya hivyo, basi ni kulipa kisasi kwa sindano ya simu. Unyama unyama tu.
   
 13. NAKAMO

  NAKAMO Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu umetoa facts support n source yko ziwe habari z moto zaidi...
   
 14. s

  swanga Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  No long at ease
   
 15. s

  swanga Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  and the beautifull are not yet born
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Ni vigumu sana kumlaumu ukizingatia hakuna aliyetegemea serikali yetu inaweza ikawa ina items kama hizi kwenye list of options zake za kukabiliana na mgomo wa maDR.

  Hii ni dalili kwamba serikali yetu imepoteza uwezo wa kuongea na raia wake.
   
 17. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Mh.Liwalo-Na-Liwe atajipendekeza kumsalimu Hospital, atapiga nae picha afu watajifanya kumpa msaada wa kumpeleka India.
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama wana hitaji pongezi yeyote maana walidhamiria kumuua.
   
 19. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  CCM imekwisha kabisa.
   
 20. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Uwapongeze baada ya kumwacha katika hali hiyo aliyonayo? Si bora wangemuacha kabisa wasimpige, wakaamua kugoma kama walivyofanya askari wa ghadafi? Hakuna cha uzalendo ni washenzi.
   
Loading...