Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari JF, Ni wazi kuwa hakuna mtu asiyependa kuona haki ikitendeka kwake na kwa jamii inayomzunguka.Kwa muda mrefu hapa TZ haki za raia zimekuwa zikidhulumiwa ama kwa kujua au kwa kutokujua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilijitahidi kusoma Pcb ili nikasome muhimbili medicine nikachemka, hata nilipokuwa Bcom bado nilire-seat biology mambo yakagoma. Nikaachana na udaktari lkn nikapitia wateule wa kozi hiyo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nia yangu sio kutukana ila jamani mimi maongezi yamenichosha, tunaingia humu tunachonga weee, tunaongea weee, tunaandika wee, labda nikubali kuwa hii ni namna ya kupunguza hasira zetu tu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ktk maisha kuna msemo malipo ni hapa hapa duniani.Kwa maana ya uovu utakaofanya dhidi ya binadamu mwenzako malipo ni hapa hapa duniani.Nchi ambayo sina haja ya kuitaja kwa sasa inakabiliwa na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bibi Asha ambaye amezungushwa kwa miaka mingi amefika mahali pa kulalama na kueleza rushwa ilivyotawala mamlaka za Ardhi (Kinondoni) na vyombo vinavyopaswa kufanya maamuzi. Kubwa ni kuwa katika...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Akichangia bungeni mbunge mtemvu ameeleza ni kwa jinsi kulikuwepo na mpango mahsusi wa kuondoa foleni uilobuniwa na mhandisi james nyabakari(tanroads manager dsm wakati huo) yeye alianza kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By JENERALI ULIMWENGU (email the author) Posted Saturday, June 23 2012 at 19:43 When a young parliamentarian uttered, in parliament recently, words to...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
je tutafika?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni mbunge wa CUF bi Rukia Ahamed alipokuwa akichangia hotuba ya Bajeti ya Waziri mkuu. Na kusema katika ukurasa wa 39 wa bajeti ya kambi ya upinzani kuwa imesema CCM na washirika wake wamechangia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wasio wavivu wa kusoma literatures mbalimbali unawakumbuka hao. Sasa nisome. Serikali inaanza kufanya juhudi kubwa ya kujinasua na kashfa kubwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya Dk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari toka jikoni zinasema kuwa Waziri wa afya bwana Hussein Mwinyi kutoa kauli ambayo ina ujumbe huu. Wote watakao Goma kufukuzwa kazi kuanzia leo na wataweka daftari la kujiandikisha na...
3 Reactions
190 Replies
15K Views
Mimi ningekuwa nawasapoti sana iwapo wangekuwa wanawatafuta mafisadi wakuu wanaotajwa kuwakamata na kuwafanyia vitendo vya unyama kama vile walivyofanya kwa Dr Ulimboka. Kwa kweli ukilinganisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hakika mwalimu alikuwa na upeo japo pato la taifa kwa wakati ule alikuwa kubwa kama sasa ila angalau aliweza kuipeleka nchi mahala pake kama kweli rais wetu siyo dhaifu jiulize hiki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa spika serkali haitatoa taarifa yake leo kama ilivyotangazwa hapo jana, Akitoa sababu Spika Makinda amesema ni kutokana na Mhimili wa mahakama kulalamika unaingiliwa katka majukumu...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
wachumi tuekeni wazi hivi kwa sasa serikari ikitekeleza matakwa yao inawezekana?na kama itawezekana ni kwa namna gani?nashindwa kuelea maana kwa jinsi bajeti inapopitishwa tunaona ufinyu mkubwa...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
‎"Nadhani mnaoangalia mijadala ya Baraza la Wawakilishi mmeona kuwa tuna kazi ya kufanya kwanza ili twende pamoja. Pamoja Daima hadi Jamhuri ya Watu wa Zanzibar yenye kutambuliwa kitaifa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Duu! poleni sana kumbe na nyie mnaogopa? baada ya kichapo cha Dr Ulimboka, hahaha! mmeingia mitini hata salamu hakuna!, mna machale kweli! msiogope endeleeni tu na juhudi zenu ila mujuwe hii ni TZ!
0 Reactions
0 Replies
968 Views
TASWIRA 1.AMRI YA MAHAKAMA IMEVUNJGOMA. SASA SIJUI KAMA KUNA HESHIMA KWA VYOMBO VYETU VYA SHERIA KWENYE HILI? 2. PINDA NA SERIKALI HAWAJATEKELEZA KWA UKAMILIFU MATAKWA YA MADAKTARI. 3. ULIMBOKA...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
NI NYARANDU NA KAGASHEKI(MALI ASILI NA UTALII) Katika moja ya vituko vya hii serikali yetu ni hivi vya kufanyiziana hata kwenye mambo ya msingi ya taifa. **NYALANDU ala njama wawekezaji...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Swali la msingi sana Lissu amemuuliza Pinda, baada Pinda kudai amefanya kila aliloweza kumaliza mgogoro wa Madaktari. Sasa Mzee Mkuu kama umemaliza uwezo wako na tatizo limekushinda, si ujiuzulu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom