Pinda na kauli yake............LITAKALO KUWA NA LIWE........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pinda na kauli yake............LITAKALO KUWA NA LIWE...........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by miftaah, Jun 28, 2012.

 1. miftaah

  miftaah Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LITAKALO KUWA NA LIWE.....hii ndio kauli ya serikali juu ya mgomo wa madaktari, nauliza jee Serikali ina mkono wake juu ya kutekwa huyo daktari? mana mm sielewi na sioni mantiki ya yule shushushu kwenda hospitali. na amekwenda hospitali kupeleleza kma amekufa au la? mana nchi hii ya demokrasia mbona sielewi?
   
Loading...