Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali iliyoko madarakani imechoka kwa kila hali na zaidi uwezo wa kufikiri kwa sababu hawana mbinu mbadala za kutatua matatizo yanayo likabili taifa hili. Suala la madaktari wameona mbinu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jane Omary (kulia) mwanamke aliyepigwa na mumewe kwa sababu ya kujiingiza kwenye masuala ya siasa na kudhoto ni Flora Lucas diwani viti maalum kata ya Ijombe Mbeya vijijini aliyeachwa na mume wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi huyu waziri wetu mkuu haya matamko anayatoa wapi?anaandaliwa au nayaandaa mwenyewe?Na anajua madhara yake hasa anapodeal na wasomi wanaotambua wajibu na haki zao?Hajui kwamba hakuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama itakumbukwa vizuri, yule M/kti wa CDM aliyechinjwa kule Arumeru, kabla kuuawa, kuna mtu alikuwa akimtafuta, akapigiwa simu, ilikuwa usiku, akaenda ndipo akafikwa, simu yake tu ndio...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatimaye amechaguliwa kuwa mlezi wa wazazi kata ya kivukoni..... Haha Na kweli anajiibidiisha kwa hali na mali. Kazi inaendelea mpaka kieleweke. Le Baharia naona sasa hivi anashinda Facebook...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"Liwalo na liwe" ni kauli ya waziri mkuu, ni kauli inayoonesha kuwa selikali itaamua maamuzi magumu ktk utatuzi wa mgomo wa ma dr. Niitahadharishe selikali kuwa makini ktk maamuzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na mfumo wa nchi hii, wa kuwa ni nchi isiyo na dini lakini watu wake wanadini, na kwamba nikiamini kuwa madaktari karibu wote watakuwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali. Hii inanipa...
1 Reactions
94 Replies
8K Views
Awali niseme tu pole kwa Dr. Ulimboka, mtetezi wa haki ya wanyonge: wa hospitali zetu na hata wa hali ya wafanyakazi ya idara ya afya. Inasikitisha kwa yaliyompata. Inasikitisha zaidi kuona...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Wakuu poleni kwa maisha magumu kwa kila mtanzania,poleni madaktari kwa kiongozi wenu kufanyiwa unyama. Naamini kabisa JF one day itaandikwa kwenye vitabu vya kumbukumbu vya ukombozi wa taifa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi bamekaa na kufukiria kwa sana, na bila mutatizo mukubwa na kutumia muda muwingi nalikuja kusha kufahamu kuwa Bantu ba Tanzania ni waoga kweli. Bantu ba Tanzania banapenda kulonga kwa mudomo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya mawasiliano na miundo mbinu imesema inatafuta njia mbadala za kukwepa gharama kubwa za ujenzi wa bandlari mpya eneo la Mpigaduri zinazofikia dola za Marekani milioni 800. Akijibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndivyo kawaida ya serikali zote zilizoishiwa direction na kushindwa kujibu hoja. Hukimbilia shot cuts, wanavyofikiri inawasaidia kumbe ndiyo wanazidi kujipeleka korongoni. Naona ukombozi is just...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo mjengoni wwakati mh kiwia wa ilelemela akieleza jinsi alivyotaka kuuwawa na kusema kuwa gari la maria hewa wa ccm lilikuwa eneo la tukio, akasimama nchemba kutoa taarifa kuwa eti hata pale nje...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Walimu nanyi jipangeni wiki ijayo mgomo hakuna njia nyingine ya kudai haki UMOJA ndo UKOMBOZI igeni ya madaktari.Bravo madaktari haki huwezi ipata hivihivi pambaneni.Bungeni wabunge CCM kimya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SINA lengo la kujadili kauli ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika aliyoitoa hivi karibuni na kusababisha kufukuzwa kwenye kikao cha Bunge kwa kukiuka kanuni. Lakini nimedhamiria kujadili udhaifu wa...
1 Reactions
2 Replies
939 Views
Kwa wafuatiliaji wazuri wa historia, mtakumbuka vizuri kilichotokea algeria kuanzia tarehe januari 3 2011 mpaka februari 2011. Serikali ya rais Abdelaziz bouteflika ilifanya kosa kwa kumnyanyasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona CNN, BBC, ITN, ABC, SABC na AL JAZEERA tayari wako on board. Na kwenye twitter trend kubwa na picha ni zake huyu jamaa Isije kuwa yale yalee kama huyu jamaa: Tunisia: How Mohammed...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani: They have pushed Health Workers too far: :embarassed2::embarassed2: Nilipoona Watumishi mbalimbali wa afya Muhimbili (sasa si Madaktari tu) wanasukuma ile Ambulance inayoweza kuwaka...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Hivi waziri kivuli wa Afya wa Tanzania yuko vakesheni? haya mambo yanayoendelea ya madaktari na Ulimboka nilitegemea wangekuwa wanatoa taarifa mbali mbali na misimamo lakini wako kimya Hivi...
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Mimi ni mwana ccm na nadiriki kusema kua ni wa kudumu as sina mpango wa kukihama leo wala kesho ila nasikitishwa sana na ushabiki wa wabunge wa chama changu juu ya hoja ambazo ni dhaifu kwasababu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom