ISIWE MTAJI WA KISIASA.......YA Dr.Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ISIWE MTAJI WA KISIASA.......YA Dr.Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ayhan2000, Jun 27, 2012.

 1. a

  ayhan2000 Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yalompata Dr.Ulimboka ni mambo ya huzuni kwa Watanzania wote bila kujali utofauti wa itikadi za kisiasa,kidini na tofauti za kijamii...hili ni jambo la watu wote bila ya kubagua.Ninasikitika sana ninapoona watanzania tunatumia huzuni na maafa kama MTAJI WA KISIASA isifike hatua linapotokea jambo la huzuni kama hili ikawa ndiom muda wa wanasiasa kuchochea na kupandikiza utofauti wa kisiasa na kujaribu kuonyesha kuwa yawezekana upande fulani wa siasa ndio uliohusika..

  Watanzania wenzangu ikumbikwe kuwa linapotokea jambo basi kila mwenye nia ya kutimiza jambo lake huweza kutumia nafasi hio nitatoa mfano mmoja wapo ndani ya nchi yetu...ilipotokea maafa ya mafuriko basi hata ambao hawakukumbwa na mafuriko walihitaji fidia....sasa tusome alama za nyakati katika hili lilompata ndugu yetu Dr.Ulimboka.

  Dr.Ulimboka amepatwa na hili wakati ndio kuna mgogoro kati ya madaktari na serikali..sasa yamasemwa mengi sana na watanzania kuhusu hili jambo ila naona yameegemea upande mmoja zaidi na kusahau upande wa pili YAWEZEKANA PIA JAMBO HILI LIKAWA LIMETENDWA NA WATU KWA MKONO WA BAADHI YA WATU aidha watu wa upinzani pia kwa lengo la kuchochea na kuionyesha jamii kuwa serikali ndio imehusika...siwezi kukubali na siwezi kukataa ila nnaxhoweza kusisitiza ni kwamba jambo hili lisitumiwe kama mtaji wa kisiasa kwa lengo la umaarufu au kujenga himaya za kisiasa hili ni jambo la huzuni kwa watanzania wote Huu si muda wa marumbano zaidi ya kumuombea Dr. Ulimboka apone na arejee ktk kazi zake za ujenzi wa Taifa Mungu atuepushe na kutumia matatizo ya wenzetu kama mataji wa kisiasa.
   
 2. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Joined 3rd May 2012
  Post hapa JF-4 Rep 0 vingine vyoote ni 0, vipi umejipanga unataka kuokoa jahazi nini????

   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Je kama kuna watu walipoteza ndugu au jamaa yao na sababu ni mgomo wa madaktari ,watu hao kulipiza kisasi ,wanaweza kuwa watu wa kawaida au wa taasisi mbalimbali.Ila kama polisi ilishiriki kama habari za hapa JF basi uchunguzi ili kufichua.
   
 4. d

  dguyana JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mods wekeni siku moja mruhusu matusi kidogo japo dk 5 tu.
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mmmxxiiiiuuu
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Yaani kama uko rohoni na moyoni mwangu
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Aliyemtuma hakumwelekeza vizuri. Amekurupuka!
   
 8. L

  LIALIA Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  h

  Inasikitisha sana kilichompata Dakatari, cha msingi tusubiri serikali itasema nini, uwongo utajulikana tuu, la kini si vema ku draw conclusion moja kwa moja katika hili. Kama hao watawala watakuwa wamefikia kupanga mbinu ya kipuuzi namna hiyo basi UDHAIFU utakuwa umepitiliza, Tujaribu kuliangalia hili suala kwa jicho la tatu
   
 9. L

  LIALIA Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kilichompata Dakatari, cha msingi tusubiri serikali itasema nini, uwongo utajulikana tuu, la kini si vema ku draw conclusion moja kwa moja katika hili. Kama hao watawala watakuwa wamefikia kupanga mbinu ya kipuuzi namna hiyo basi UDHAIFU utakuwa umepitiliza, Tujaribu kuliangalia hili suala kwa jicho la tatu
   
 10. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CCM hamna jipya! Waliomkamata na kumtendea ubaya ni maafisa wa usalama wa taifa!
   
 11. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kweli Human stupidity is infinite! Ahsante kwa mawazo yako!
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Mpwa kwa nini?
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Naona sasa mtoa mada anataka kujaribu kutufundisha jinsi ya kufikiria

  jaribu kipindi kingine sio hiki.
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Nikiambiwa nichague nini napenda hapa Jf, ningependekeza nisiitwe Great Thinker
   
 15. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Toka lini kiongozi wa serikali dhaifu/mawaziri dhaifu/polisi dhaifu wakakubali kuhusika. Labda afe mtalii utaona helicopter inatafuta majambazi. Ok fine.
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ni vyema kweli tukasubiri ukweli utajulikana tu ukizingatia sasa hivi technolojia iko juu. Yeyote aliyefanya jambo hilo anastahili kushutumiwa kwa nguvu zote. Katika hali ya sasa ya kisiasa na kijamii katika nchi yetu chochote chaweza fanywa na yeyote kwa manufaa yake. Tumuombee Dr. Ulimboka apone haraka.
   
 17. S

  Simiyu one Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  what if victim mwenyewe ametamka kuwa aliitwa na watu wahusika wa serikalini kuongelea mgogoro uliokuwepo baina ya upande wa madaktari (ambao) ulimboka ni kiongozi na serikali (ambao Abeid- aliyetajwa) ni mhusika na consequently tukio hilo likatokea why tusiwasuspect akina Abeid na serikali yao kuhusika?
   
 18. Pangaea

  Pangaea JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninamwombea Dr . Ulimboka kupona haraka. Tayari tumewasikia huko bungeni, na haya yametokea pengine watatambua kuwa hakuna mahali popote duniani mabavu yamewahi kushinda. Je si wakati mwafaka kuwapa watumishi wa umma maslahi stahili ili kuepuka migogoro kama hii? Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki watanzania.
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Yaani kuna watu wanataka kuleta siasa kwenye maisha ya watu, sasa hapa Mpwa ndio ambapo huwa siwaelewi kabisa watu hawa, namsubiri zumbemkuu aje anipe mawazo yake na yeye juu ya hili
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pengine hasira za wandugu ambao wanaona ndugu zao wanakufa hapo Muhimbili bila msaada wakati dokta ulimboka ambaye analalamika mshahara mdogo yupo Bar anakunywa bia.
   
Loading...