Kauli ya Dr Nchimbi na Kamanda Kova zina walakini

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Katika maelezo ya Dr nchimbi waziri wa ulinzi,alisema Wale watekaji wa 5 walipofika kwenye Pub wakawakuta dr uli na wenzake wakampga KIBAO Wakati wakihamaki wakamchukua haraka DR Uli na kumwngza kwenye nyeusi isiyo kuwa na Plate namba.
2.Aliepeleka taarifa kituo cha bunju ni Raia mwema aliemuokota anaitwa JUMA.

Kamanda KOVA
Walipofika Leaderz club jamaa waliwalaza wote chini then wakampiki Ulimboka.
>Raia mwema aliemuokota jina lake wanalihifadhi kulinda Usalama wake

Why haya...

General hosptal Dodoma.
Intern Drs 11 waliogoma wametimuliwag
 
Serikali haiwezi kuepuka lawama kwa hili...wana vyombo vya habari, wanaweza wakapindisha 'hadithi' watakavyo...haitawasaidia!
 
Serikali haiwezi kuepuka lawama kwa hili...wana vyombo vya habari, wanaweza wakapindisha 'hadithi' watakavyo...haitawasaidia!

Ukisikiliza matamshi yao utagundua kauli mbili zilizotofauti na kufanana baadhi ya maelezo
 
Tukio zima ni aibu kwa serikali ukizingatia limetokea wakati mgomo wa madaktari unaendelea. Hii ni picha inayodhihirisha kuwepo kwa tawala nyingine ukiacha hii ya JK.
 
Tusizinguke kumung'unya maneno aliyefanya ili tukio ni serikali ya jamhuri ya muungano ya tanzania na cha kushangaza wanashupaa wachunguze wenyewe..it is against doctrine of natural justice...nemo judex in causa sua(you can not be a judge of your own case).
 
Ngoja tuone ngonjera zao hawa serikali na jeshi la polisi mwisho wa siku ukweli utajulikana tu, kwani mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa kule ulanga ilikuwaje, si mwisho wa siku watu tuliujua ukweli wa mauaji na wote waliohusika katika mauaji
 
Tatizo serikali ikipanga kufanya unyama kuna baadhi ya maafisa wake wa juu huwa hawapewi mchingo. Ndo maana huwa wanatoam kauli za kupishana. kumbukeni sakata la Mwakyembe
Sitta anasema jamaa kapewa sumu.
Nahodha anasema Sitta alete ushahidi. Manumba anasema uchunguzi wa polisi unaonyesha hakulishwa sumu. nahodha anasema taarifa hiyo sio ya polisi ila ni ya Manumba.
Serikali yetu ni ya Vioja tuuuuuuuu hata aibu huwa hawaoni.
 
Waliomteka Ulimboka ni Usalama wa taifa. Vyombo vya habari tusaidieni kuwafichua wajinga hawa. Lakini tunajua Nape atakuja hapa na kusema madaktari wanatumiwa na Chadema.
 
Tukio zima ni utata mtupu............ hata dr Ulimboka naye maelezo yake ni utata mtupu.................wanaharakati.....serikali.....chadema....wote utata mtupu.....yaani ni utata mtupu.
Cha msingi hapa tujiweke huru kufikiri....tusubiri uchunguzi
 
Yan hapo wana jichanganya sana.

Serikali dhaifu ndiyo hiyo
 
Waliomteka Ulimboka ni Usalama wa taifa. Vyombo vya habari tusaidieni kuwafichua wajinga hawa. Lakini tunajua Nape atakuja hapa na kusema madaktari wanatumiwa na Chadema.
kamanda Kova ameomba yeyote mwenye taarifa ampelekee. Vipi kama ungempelekea hii ukamuelewesha vizuri?
 
Hivi mnawaitaje usalama wa taifa wakati wanahujumu usalama? Labda waitwe usalama wa CCM. Ungekuwa usalama wa taifa kwa nini wasingesimamia wezi na mafisadi wa taifa hili. Nchi hii haina usalama, iko uchi, inapaswa mkurugenzi ajipime maana wananchi hatuna imani na rais, waziri mkuu na wabunge wote wa CCM. Watanzania tuamke tuwakatae popote wanapoenda ikiwa ni pamoja na kutohudhuria ziara zao. Tuache unafiki hali ni mbaya, unafiki wa watanzania ndio uliotufkisha hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
wote hao wanahusika katka tukio la Dk.Ulimboka

Jerry Muro alishasema Kova sio polisi.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom