Leo Tz kuwa nchi ya kwanza Afrika kufunga rasmi huduma zake za afya kutokana na ufisadi serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo Tz kuwa nchi ya kwanza Afrika kufunga rasmi huduma zake za afya kutokana na ufisadi serikalini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jun 28, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ndivyo historia ya aibu kubwa itakavyowekwa leo pale serikali ya JK itakapowafukuza madaktari wote wanaogoma wakidai hak na stahili zao huku serikali ikishindwa kuwalipa kutokana na ufisadi uliokithiri na usimamizi mbovu wa fedha zake hivyo kutokuwa na fedha wakati mafisadi 6 wameweka TS 306 bilion nchi za nje.

  Ndiyo, leo historia inawekwa.
  Subirini.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Itapendeza na itadhihirisha UDHAIFU wa serikali tawala!

  Na ndio siku zote tunasema ccm na uongozi wake wote ni JANGA kwa Taifa letu la Asali na Maziwa.
   
 3. m

  mr.kim Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna logc ya kumfukuza mtu kaz angal anahtaj vitendea kaz? Hi naifananisha na mwalimu kumchapa mwanafunzi kisa amefaulu vizuri!
   
 4. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuirudisha CCM madarakani ni janga la kitaifa! - Dr. Wilbroad Slaa 2010
   
 5. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wakifukuza madaktari na sisi wananchi tuwafukuze au vp jamani!kwani tunahtaji sababu zaidi ya hii nafikiri inatosha washenzi kweli unamkanyaga binadamu mwenzio na gari makusudi walaaniwe na vizazi vyao
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Kwani serikali ya Tz nayo kumbe imekuwa ikitoa huduma za afya?make mie naona hospitali binafsi kwa mijini na akina matunge kwa vijijn ndo wamekuwa wakijaribu kuwatibu watanzania na kidogo watu wanapata afya zao lakini si serikalini

  Kama dawa hata panadol unaambiwa ukanunue nje na ili umuone daktari ni mpaka utoe rushwa kuna tatizo gani wakitangaza hilo leo ili tukaendelea na Samunge type?go to hell ccm.
   
 7. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  watawafukuza kinadhalia lakini si kwa vitendo maana hata barua za kuwafukuza hawata wapa Pinda anawaogopa sana doctor hawezi subutu hata ni kuwahadaa tu wananchi tunaijua serikari hii ni legelege.dhaifu.goigoi.urojourojo.ndembendembe.
   
Loading...