Mahesabu ya kumuondoa kiongozi wa madaktari ni udhaifu pia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahesabu ya kumuondoa kiongozi wa madaktari ni udhaifu pia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DUNIANGUMU JR, Jun 28, 2012.

 1. D

  DUNIANGUMU JR Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udhaifu ni kitu kibaya sana, udhaifu ndani ya nyumaba huzaa nyumba legelege na yenye wasiwasi!!! mahesabu ya kukatisha maisha ya kiongozi wa madaktari nchini ni moja ya udhaifu wa serikali yetu kuogopa na kushindwa kutatua kero za watanzania, kwa kujidai vipofu wa kutoona shida za watanzania, ni yupi kiongozi ambaye hajui hospitali zetu jinsi zilivyo? labda ni kusahau!!! lakini vyema kuna watendaji wa kila siku kwenye idara hizo wameweza kuwakumbusha ili mshughulikie matatizo haya, ajabu mkikumbushwa hamtaki kutekeleza ama kwa makusudi ili muendelee kufaidika na hali zile duni kiasi kwamba yeyote atakayeendelea kuwa kumbusha mnataka kumnyamazisha kwa sitairi ya kumkolimba!! je mtakolimba wangapi kwa faida yenu? je mnafikiri mkikolimba ndiyo suluhu ya matatizo ya watanzania? au mkikolimba ndiyo mtakuwa mmemaliza matatizo yaliyopo? ama mkikolimba ndiyo mtakuwa mmewafunga watanzania kudai haki zao za msingi? Nahisi udhaifu huu mwisho wake ni taifa legelege na taifa lenye wasiwasi!!! SAA YA UKOMBOZI NI SASA!!
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,061
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Nilishasema CCM itakufa na ni lazima tutaizika ila kusema kweli itaondoka na wengi pia,akina Korimba,Chifupa,Arusha 5,Rwegasira mzee wa TRAU,Balali n.k wote hawa na wajao ndo wameweka utangulizi wa kufa na kuzikwa kwa CCM hapo 2015

  CCM itakwenda na wengi na hapa bado sana.
   
Loading...