Wadau Popote pale mlipo, tumieni thread hii kutupa update ya kinachoendelea pale Muhimbili, KCMC, BUgando, na mahospitali mengine nchini. Pia tungependa wale mlioko jikoni, turushieni cheche...
Nimekuwa nikiona mawazo mbalimbali hasa katika sakata la mgomo wa madaktari. Wengine hulaumu Serikali na wengine Madaktari. Ila kwa maoni yangu: Serikali inawajibu kwa wananchi kwa sababu ndio...
Na Florence Majani, Dodoma
Mbunge wa Mfenesini, Nasib Seleman Omar ameitaka serikali kubadili mfumo wa malipo ya wabunge wanapomaliza muda wao na kuweka utaratibu wa kuwalipa pensheni badala ya...
Jamani naombeni mpige kura ya maoni, Arusha Mjini uchaguzi mdogo wa ubunge kama JK angeruhusiwa na katiba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM na Matonya wa Dodoma agombee kwa tiketi ya Chadema nani...
Tayari Chadema imelaani shambulio la Dk Ulimboka
Wednesday, 27 June 2012
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika
Boniface Meena
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)...
jamani how many parents will encourage their kids to pursue the course in medicine?they will be poorly paid, receiving phone calls from unknown people, being kidnapped, tortured... killed if time...
mara nyingi tumekuwa watetezi wa CHADEMA humu jukwaani na popote magamba wanapojaribu kupotosha ukweli...,.je wewe ni mwanachama halali na unatimiza wajibu wa uwanachama?
hebu tufungukeni apa...
wakati pinda akijiaandaa kufukuza madaktari,taarifa zinaniambia kuwa madaktari wanajiaandaa kujiuzulu kwa pamoja(mass resignation).
Hii inamaanisha madaktari wote nchini pamoja na wale wa...
Kama Naibu Spika umekiuka miongozo ya uendeshaji shughuli za Bunge, umedhalilisha shule yako na hata Chama chetu cha Mapinduzi. Unawezaje kusimamia mijadala Bungeni kinyume na Kanuni za Kudumu...
Jamani watanzania tusilalamike sana maana tuliichagua wenyewe hii serikali sikivu. sasa inavyozidisha usikivu kwa kusikiliza mawazo yote hata ya kijinga na yasiyo na busara tusilalamike.Usikivu...
MBUNGE wa Ilemela, mkoani Mwanza, Bw. Highness Kiwia (CHADEMA), amefichua mpango wa kutaka kumuua unaofanywa na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), jimboni humo.
Kiwia alisema huo ni mpango...
Kuna taarifa kuwa katibu wa Medical Association of Tanganyika (MAT) ameanza kupigiwa simu na watu wasioeleweka kama ilivyomtokea Dr. Ulimboka.
Madaktari wameshapeana taarifa na wameahidi...
Dr. Steven Ulimboka
Ujumbe amenitumia Daktari yupo pale MOI
‘Kaka Zitto,hali ya Dr.Ulimboka yuko unconscious,multiple ribs fracture na kwenye mikono pia amevunjika pamoja na...
Kwanza ieleweke wao madaktari ni binadamu kama binadamu wengine ,ujuzi wao usikufanye wewe kuwaona wao wabaya wanapodai hela na kusema wapo kimaslahi ,maslahi hayo ndio hayo hayo yanayoifanya...
Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka.
Taarifa zilizonifikia ni kwamba ACP Ahmed Msangi wa kanda maalum ya Dar es Salaam ataongoza kikosi cha wapelelezi...
Moja ya kauli nilizozisikia kipindi kile ni ari mpya nguvu mpya kasi mpya!
Najiuliza hii ndio ari mpya?, je hii ndio nguvu mpya? na je hii ndio kasi zaidi? hii ni kasi mpya?
KAMA WATANZANIA...
Asubuhi nilipigiwa simu na jamaa yangu akaniambia nitafute gazeti la MAJIRA la leo Jumapili. Nimelitafuta gazeti hilo kwenye stalls za jirani na zile za mbali zaidi lakini sikuweza kupata gazeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.