Ndesamburo achemka, out of touch! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndesamburo achemka, out of touch!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bu'yaka, Jun 27, 2012.

 1. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 80
  Ni pale aliposema bungeni kwamba, viongozi wakitaka kujua hali halisi ya maisha ya Watanzania basi wapite na helikopta wataona kwa karibu, kwa mfano kuna watu mpaka leo hii wanaishi maporini, hawajulikani ni kina nani, na ukipita na gari au ndege huwezi kuwaona, na si vizuri kuwaacha nyuma wengine kimaendeleo, ni lazima tuendelee kwa pamoja.

  Ulikuwa ni kama mpira wa kona alivyoshukiwa na mbunge wa CCM na washangiliaji, au niseme gombania goli , kipa mmoja washambuliaji kibaaao!


  Wabunge wa CCM wakamuuliza Mheshimiwa Ndesamburo, nyinyi CHADEMA si mnafagilia kupunguza gharama za serikali kwa viongozi kutumia vyombo vya usafiri vya nafuu, sasa gari na helikopta kipi aghali? CCM wakadai kwamba kwa kweli hakuna chama mbadala kama wabunge wenyewe wa CHADEMA ndio wana mawazo hayo.

  Lakini hata hivyo kuna hoja za maana alizotoa, kama alivyomlipua Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi kwamba ni failure lakini amongezewa muda baada ya umri wa kustaafu kufika, kinyume na sheria. Alimtaka aondolewe haraka wa sababu ni mzee na hana utaalam maalum unaohalalisha kumuongezea muda kama sheria inavyotaka.
   
 2. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 522
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  $%&^^&$$&%*^%$%&$^$&^&*&%$%&&*ccm%$%$&&ccm&*^*&^*%&%&^%&6-......SANA KABISA
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Vijana mtatupa shida sana nyie! Ukiwa kwenye gari unafikiri unaweza kuona walao km 1 from main road. Yaani CCM wanaona uzuri wa uso wanafikiri hata kifuani na sehemu zilizofunikwa na nguo ni nzuri vivyo hivyo! Helicopter hukuwezesha kufika pale ambapo hayo ma kilimo kwanza hayawezi kufika. Ngoja tuone kama kuna likilimo kwanza litakalofanyiwa service ya shilingi laki tano baada ya kumilikishwa hayo magari! Nakwambia nguo za ndani zitawabana!
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hao wabunge wa CCM wanaendeshwa na unafiki, kwani helkopta ngapi. kwani sasa kuna V8 ngapi, Kipi kitasaidia wananchi walio wangi. Vichwa vya nazi. Nashukuru mimi sio mbunge ningekuwa napigwa ban kila siku.
   
 5. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kwa nn na yeye asistaafu ubunge? Kwa uzee wake huo? mnafiki2.
   
 6. kupelwa

  kupelwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 874
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  wabunge wa CCM waache upotoshaji;hoja ya desamburo ni ya msingi kuna mahala tanzania ambako hakufikiki kwa barabara.kuna sehemu nyingi tu naushahidi vipo vijiji hata kilosa mkurugenzi wa halmashauri hajawahili kufika .Hivyo dhana ya sesa pesa ni serkali kungalia nmna ya kufikia vijiji ambavyo havifikiki kirahisi kwa usafiri wa kawaida.Mkumba aache upotoshwaji hao ndo wakuondolewa uchanguzi unaokuja , sababu ya kuwa na upeo mfupi wa kuelewa.
   
 7. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Helicopter inatumiwa kipindi kifupi sana cha chaguzi
  katika matumizi nitapingana kama kuna waliovalia njuga hili.
  Tunaona matumizi mabovu kila siku safari za viongozi haziishi ndani na hata nje ya nchi. Hata vikao vyakawaida vya chama wanakodi ndege kwa garama kubwa. Ukifatilia sana ufujaji wa pesa za umma achilia mbali pesa tunazoibiwa kwenye mikataba unaweza kuanza kuteseka na magonjwa ya moyo sasa hivi
   
 8. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kama kawa wabunge wa magamba lazima wahache hoja ya msingi
  na kujikita kwenye mambo yasiyo na maana sana..yote kupotosha umma!
  Kila bidhaa ina expiry date, ccm imekwisha ku expire tunasubiria muda
  ufike tuipeleke dampo!
   
 9. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwanza helikopta ni ya ndesa sasa ushabiki wa nini?
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Hata ramani za mipango miji siku hizi tuwe tunapiga kwa gari?
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  gari lina nafasi yk na helcopter ina nafasi yake, ni swala la uelewa tu
   
 12. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukweli ccm wajinga tu! Kuna maeneo mengi sana nchi hïi gari haiwezi kufika kilahisi na kwa haraka, kwanini wasitumie ukizingatia mda ni gharama sana, masikini magamba hawaoni hili!
   
 13. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Achen ushamba nyie dhaifu, hiv maufisadi mnayofanya hamuon km mna weza kununua hata elkopita 50. Mmeuza machimbo kwa wazungu, mnauza wanyama kila siku nje hizo pesa mnapeleka wapi?. Halafu leo mnamshangaa ndesambulo anapoongelea helkopita.
   
 14. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nafikir. We ndo umechemka...aliposema watumie Helicopter sio maana,Viongozi wa Serikali,Mkuu wa Wilaya,Mkuu wa Mkoa,RCO,Mkurugenzi wa. Manispaa na watendaji wengine woote wanunuliwe Helicopter.

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 15. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Mzee Ndesa ni mkweli kwa nafsi yake! Honest to his own self! Yeye husafiri kwa helikopta kwenda mjengoni, anaona mengi na amesema. Sasa badala ya kumsikiliza wanaanza kumwangalia amevaa nguo gani. Udhaifu mkubwa huu.

  Ujumbe ni dhahiri kabisa, kuna umasikini wa kutisha! Ameona na ametuambia tusiangalie tu barabarani kuna watu wetu wako maporini. Lkini angalia mitizamo ya kisiasa.

  Hivi bei ya Helikopta na Shangingi- ni nani atatusaidia kulinganisha? Maana serikali ingekuwa na Helikopta kila Mkoa, hata majanga mengi tungeweza kusaidia. Lakini leo hii kuna ajali highway, mpaka ipatikane njia mbadala ya kumkimbiza majeruhi ni shughuli! (NAJUA NIMECHANGANYA MBOGA HAPA, LAKINI USHABIKI WA KISIASA UNAFILISI HOJA HARAKA MNO, NA NAONA KARIBU NAAMBUKIZWA HUU UGONJWA)
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  haya majamaa ya magamba ni majinga kweli!
   
 17. d

  dguyana JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni rahisi kumiliki kila mkoa helkopta moja kuliko kila wilaya VX 3.
   
 18. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,324
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Hakuchemka ni sawa kwani alikwisha fanya utafifi wa kutosha katika hili,nafikili tumfuate hatutanabaishe vema hoja yake.
   
 19. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Wewe mlete thread ndio umechemka, hujajishughulisha kufikilia hata sekunde moja, umebeba zima zima kuja kulibwaga hapa, next time usirudie, alaaaa
   
 20. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ndo muone matamanio ya CDM ni kila kiongozi kuwa na helcopta yake zinazotumia umeme
   
Loading...