HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. KULIKOYELA K.KAHIGI (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI OFISI YA RAIS, KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA 2011/2012 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI...
Jamani mimi ni mwalimu nafundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama Assistant Lecturer.
Kusema kweli hii nchi haijui thamani ya madaktari na professionals wengine kwa ujumla.
Hivi kweli...
Wana jf ilianza skendo ali2liza Sugu ikaja kiwira umma waliuelewa,leo tena isyonje walifunga barabara masaa ma4 DC,mkurugenzi na polisi-sltn wameafiki matakwa ya wananchi,my take..nchi inaelekea...
Ndugu zangu wana JF,
Tusifanywe kana kwamba na sisi wenye nchi hii tusifanywe hatujui hesabu za kujumlisha, kutoa,kuzidisha na Kuganya... Hivi kama misamaha ya kodi ina fikia 1.3Trilion kwa...
Hoja za wabunge wa CCM kuhusu Dr. Ulimboka ni shocking! Stella Manyanya anaongea kama mlevi, ebu fikiria huyu ni RC. Mwigulu naye sijui akili zake zipo sehemu gani ya mwili. Mwenyekiti naye ovyo...
Madaktari bingwa wasema nchi nzima hakuna CT-Scan, Jamani what is going on in this country.
Hivi napenda kuuliza waliosababisha kukosekana kwa huu mtambo ni CHADEMA?, au magamba wenyewe.
Nakelwa...
Leo kasimama Mr. katoa mfano wa Al-bashir alivotumia janjawit kuzorotesha waliompinga Mwenyekiti akasema Mr II ameitukana serikari athibishe au afute kauli. Akasimama Manyaya, akaseme CHADEMA wako...
Anasherekea miaka 50 ya uhuru wa Burundi.Pumzika tu lkn ngoma huku bado inogile,specialists wamegoma pia na marekani inazidi kukomalia suala la meli za mafuta za iran kuwa na bendera ya...
Bora tungekuwa mabubu ili siku tukizidiwa tuseme na tusikilizwe.
Kinachotufanya watanzania hata tusisikilizwe na watawala ni kuwa WE TALK TOO MUCH ALL THE TIME.
Tunaongea sana kwenye madogo na...
Data from Lloyds List Intelligence shows that more than 18 tankers appear to have been removed from the Maltese and Cyprus flags in recent weeks that have re-appeared on the registries of Tuvalu...
Kuna tetesi kuwa unaweza ibuka mgomo mkubwa wa daladala na mabasi yatokayo na yaendayo mikoani. Mfano tumesikia mara kama 2 wks ago , moshi nako daladala za mjin ziligoma kwa siku moja wiki...
Kwa taarifa nilizozipata muda huu uongozi wa hospital ya taifa ya muhimbili wamewatimua madaktari Interns wote katika hospital hiyo
Barua iko hivi;
Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa...
Great Thinkers,
Naamini JF ni kisima cha busara na darasa kwa watanzania wote. Ni imani yangu wale wote waliohusika na jaribio la kutaka kumuua Dr Ulimboka wanapita JF na kusoma update ya nini...
Nasikitika sana ; kwa hospitali kubwa km Muhimbili kutokuwa na Ambulance mpk kuomba ya AAR:baby:
Ambulance ninazoona kila kukicha wahisani wana mwaga UMECHAKACHUA?????? NAOMBA JIBU
CHADEMA WAMSHUKIA LOWASSA JIMBONI KWAKE, WAVUNA WANACHAMA 700
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Arusha kimeendelea na operesheni vua gamba vaa Gwanda ambapo wilayani Monduli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.