KATIBU wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye anadaiwa kuwatisha wanachama wa chama hicho wanaomuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Chanzo chetu...
Serikali ina mpango wa kuagiza Madaktari kutoka nje ya nchi kuziba pengo lililoachwa na Madaktari waliogoma. Tumesikia pia Waalimu nao iwapo hawatatimiziwa madai yao watagoma ktk wiki mbili...
Nimeangalia maeneo yalitangazwa na Jaji Warioba nikajiuliza kwa nini imechagua maeneo haya kwa kuanzia?, je ni strategy kama ile ya kutangaza matokeo ya uchaguzi ya 2010 kwa kuanza na sehemu CCM...
Huyu waziri kivuli wa Afya wa CHADEMA amekuwa kama wenzake wa CCMHaonekani, Hasikiki, haijulikani kajificha wapi
. Mtandao wa JF unafanya kazi nzuri kuliko huyu waziri kivuli wa Afya nathubutu...
Mawilayani hawa ndio wagawana mafungu yote ya afya. Tenda za kuzoa taka, kusimamia chanjo, kuuza dawa za selikalini na karibu wote wanamaduka ya madawa na watoa vibari vya maduka batili. Pia ndio...
MARA KADHAA TUMEPATA KUSHUHUDIA JINSI VIONGOZI WA KISIASA WANAVYOJIAMRIA KIWANGO CHA ULAJI WANACHOKITAKA HUKU WAKIJUA KUWA KADA ZINGINE ZINZFANYA KAZI NGUMU NA 'MUHIMU' SANA KWA JAMII, km...
Sasa wanafunzi wanasema kuna haja gani ya kujipinda na PCB wakati Accounts, malawyer wanapeta
So Serikali imechemsha. Kutakuwa na upungufu wa madokta. Wanafunzi hawahangaiki na PCB
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.
Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka...
Saluti kwa wana jf wote. Wakuu ni siku nyingi sijamsikia mpambanaji EL, nini kimemkumba? Huyu bwana pamoja na makashfa yaliompata hadi kujiuzulu, alikuwa bora kuliko Pinda. Nina kila sababu ya...
Karume awaambia wana CCM msihofu, awafananisha uamsho na waamsha daku. Soma zaidi hapa Karume awatoa khofu wana CCM | Mzalendo.net. Msaada -umemuelewa vipi Dkt? Is he for or against uamsho?
Leo Jumamosi, Juni 30, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, atakuwa na mkutano wa hadhara Ilala Bungoni.
Vyanzo vyangu vya habari, kutoka karibu...
Mkutano wa Wanaharakati na Waandishi wa Habari: Sehemu ya tamko: "...kama kweli Rais Jakaya Kikwete ana nia ya dhati ya kutetea maisha ya Watanzania, tangu Jumamosi hadi leo angelikuwa...
Ni uwamuzi wa Busara, uliojaa upendo, huruma na msamaha kwa vijana wake Madaktari. Rahisi ametanguliza maslahi ya sisi tulio wengi kuliko kundi moja tu la watumishi. Hotuba ya Raisi imewahabarisha...
ndugu Wananchi;
Kwa niaba yangu na kwa niaba ya Serikali natoa
mkono wa pole kwa Dkt. Steven Ulimboka na
kumuombea apone haraka ili aungane na familia
yake na Watanzania wenzake katika ujenzi...
Katika hotuba yake jana, kama nilimsikia vizuri, alisema kuwa Wale "Intern Doctors watakaogoma wanahatarisha Maisha yao..." kwani hivi kweli mtu akikosa ajira ya Serikali ndio maisha yake yako...
tulio wengi tunaamini madaktari ni watu wanaofanya mambo kwa kutumia busara ya hali ya juu bila kukurupuka.....sasa kuhusu madai yao ya mshahara wa m3.5 na malipo mengine bila shaka kuna sehemu...
Katika vikao vya Bunge linaloendelea Dodoma, Wabunge wamezuiliwa kujadili jambo lolote linalohusiana na mgomo wa Madaktari na Spika wa bunge kwa sababu kuwa kesi ipo Mahakamani hivyo bunge...
Leo ndio leo, Wafanyakazi/Watumishi wa Serikali macho yote Bungeni leo kujua ni nini haswa kinaendelea! Bajeti ya Wizara ya Utumishi 2012/2013 kusomwa leo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.