umeme wakatika bungeni

umeme wakatika bungeni

ni kama maigizo hapa umeme umekatika bungeni wakati mh anachangia hapa. wengine wamewasha simu zao za tochi. dhaifu hii
 
Poleni mkuu ndio bajeti hiyo qwe unakula posho tu vumilia kaka reporter sembuli
 
:director: LUKU IMEWAUMBUA ; HAPO SWARI MKURUGENZI TANESCO, HALI ,KASI NA NGUVU ZAIDI . za kukusanya
 
Back
Top Bottom